kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,523
- 12,620
Kwema wakuu.
Ebana ndugu yangu amechaguliwa kozi tajwa hapo juu chuo cha sokoine pale Morogoro, naona Kama hajaridhishwa hivi na hii kozi, lengo lake lilikua asome MD ila vyuo vyote vya medicine alivyoomba hawajamchagua sababu ya ushindani kuwa mkubwa sana mwaka huu. Matokeo yake ya kidato cha sita ni division 1.9 PCB.
Nilikua naomba kujulishwa kuhusu hii kozi ya veterinary medicine iko vipi pale sua na vipi soko lake la ajira nalo limekaa vipi?
Asante