story

  1. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania 📢 Story za gawio

    | Leo Tujifunze kwa Mfano Halisi 💰📈 Juzi CRDB Bank PLC wameanza kutoa gawio (dividends) kwa wanahisa wake! 🏦💵 Gawio la mwaka huu ni Tsh 65 kwa kila hisa – na guess what? Wanafunzi wangu wa darasa la uwekezaji (kwenye group langu la WhatsApp 📲) waliowekeza kwenye hisa za CRDB wameanza kupokea...
  2. mudytawaleni1802

    JamiiForums Tanzania Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔 Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄 Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni ujanja au ujinga kukaa na mtu mnapiga naye story kwa masaa au siku kadhaa bila kujua jina lake?

    Nilichokiona kwa wazungu au watu nje ya bara la Africa wengi awe mwanaume au mwanamke mara nyingi mkikutana tu popote ikatokea mkaanza kupiga story na ikaonekana mtaendelea kuongea muda mrefu basi atajitambulisha mara moja mwanzo tu wa mazungumzo yenu na ndipo mtaendelea na story, kwa Wabongo...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

    Nimechoka na nimeboreka, niambie kimoja kati ya hivi vitano; Kitu gani cha ajabu mwanaume au mwanamke ameshawahi kukuomba? Umeshawahi kuvunja urafiki, nini kilitokea? Umetumia hela yako kununua kitu gani cha kijinga ila unakifurahia? Ulifanya nini mpaka ukaachwa au kumuacha mpenzi wako? Ndoto...
  5. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawana huruma kwa Wanaume. True story

    Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason. Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn. Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta...
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Story na chatGPT la WhatsApp, ona lilivyonijibu..

    Hili roboti kuna muda linachekesha sana kwenye majibu yake!, binafsi nimelisave kama "Akili mnemba".
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania True Story, baadhi ya watu ni hatari sana sana

    Juzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya...
  8. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  9. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Wema hauhitaji utajiri, bali moyo wa kusaidia. (Ordinary Angels, 2024), Based on a true story.

    Hello, JF Members, Kama wewe ni shabiki mkubwa na number one die hard fan wa Hilary Swank na Alan Ritchson basi hii movie ya Ordinary Angels (Malaika wa Kawaida) sio ya kukosa. Ordinary Angels, 2024 ni filamu yenye mguso wa kihisia, inayoelezea maisha ya Sharon (Hilary Swank), mwanamke jasiri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  11. PSL god

    JamiiForums Tanzania Hivi story za IDDI MAKENGO ni za ukweli au za kutunga?

    Wakuu hii story nimeikuta huko FB kwa famous account ya iddi makengo je zinakuwaga na ukweli wowote!? Nifanye nini nimetembea na mchumba wa wifi yangu kajaua lakini haongei chochote! Ndoa yangu ina miaka saba, na kwa muda mrefu mimi na mume wangu tulikuwa tunaelewana vizuri. Maisha yalikuwa...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania The Untold Story of John Magufuli's Death: What Really Happened?

    The Untold Story of John Magufuli's Death: What Really Happened? Video Credit: kavaziOfficial (YT) 1. Introduction: The death of John Pombe Magufuli, the fifth President of Tanzania, on March 17, 2021, marked a pivotal moment in the nation's history and sparked international attention...
  13. youngkato

    JamiiForums Tanzania Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

    Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia. Yaani distance kutoka Ethiopia na rufiji imekaaje aisee.hizo TL losses. Tunapigwa mchana kweupee
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Story gani haiwezi kukosa hapa kwenye kijiwe hiki cha bodaboda?

    Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania The story of Allyson Felix with Nike

    When Allyson Felix became pregnant, Nike was prepared to cut the terms of Felix''s endorsement by as much as 70% due to the pregnancy, and told her to “know your place and just run.” Amid all of this, she was forced to have an emergency c-section seven months into her pregnancy because of a...
  17. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    Habari zenu wana JF Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tupatiane True Story yoyote ila iwe Fupi na Precise

    Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani. Hadi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
Back
Top Bottom