story

  1. O

    From Dump Site to Play Site: Mathare Youth Change the Story

    Kile kilikuwa damsite hatari Mathare, sasa kimegeuzwa kuwa children’s park ya bure, mahali salama ambapo watoto wanaweza kucheza, kujiexpress na kuwa watoto tu. This transformation was led by a local youth group determined to reclaim space for the community. Kwa ushirikiano na SHOFCO (Shining...
  2. O

    GBV Against Men: The Story We Don’t Talk About

    Let's think of a scenerio in Githurai, Kevin is known as a hardworking boda boda rider ule jamaa hustler, hana noma. People see strength when they look at him. What they don’t see is what happens behind closed doors. At home, Kevin faces constant insults, control, and sometimes physical...
  3. Mshana Jr

    Story time:Holodomor: Njaa Kubwa ya Ukraine (1932-1933)

    1. Sababu ya Asili Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni: •Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine walilazimishwa kuuza mazao kwa bei ndogo kwa serikali, huku mashamba makubwa yakichukuliwa. •Bajeti...
  4. Archival Sense

    The long road to Uganda's independence

    THE LONG ROAD TO DAWN. Uganda's Story, Told in Shadows and Fire PART 1 Uganda’s independence did not arrive as a sudden miracle. It was shaped in silence, suffering and stubborn hope. Hope carried by people who dared to imagine a future beyond the rule of he who preached the cross and lived...
  5. JOHNGERVAS

    Hii dunia watu makatili sana. Sikiliza hii stori ya John Kaaya akieleza jinsi polisi walivyomtesa

    Kama ni kweli kuna watu waliuawa bila hata hatia, tena kwa makusudi https://youtu.be/kW4x1NROh0k
  6. M

    Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

    Nisiwachoshe Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka. Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
  7. Mwachiluwi

    Simu yako isikose game au story za kusoma pindi mtandao unapo zimwa

    Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili uwe una soma Leejay49 nina story zako 3
  8. M

    Tanzania: Government's response to CNN's investigative story on 2025 post-election violence

    TRANSLATED from Swahili: STATEMENT BY THE CHIEF GOVERNMENT SPOKESPERSON November 23, 2025, Dar es Salaam. Greetings & Purpose of the Meeting Fellow Journalists, we have met here today for one purpose: to discuss issues that have emerged following the breach of the peace on October 29, 2025...
  9. Fbn

    Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  10. McLaren

    Gazeti hili la Pakistan limesahau kuondoa prompt ya ChatGPT mpaka gazeti limefikia wasomaji

    Wakuu Nimewaza tu hivi hili gazeti halina wahariri pamoja na cross checkers? Au hawa walikuwa wanawahi wapi to the point wamefanya kosa la wazi kama hili? ======== Gazeti maarufu la Kiingereza nchini Pakistan, Dawn, limeingia kwenye headlines duniani baada ya prompt ya ChatGPTkusahaulika...
  11. Dr. Mariposa

    Tunaweza kupiga story?

    Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey! Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar.....
  12. Chizi Maarifa

    Godfather of Harlem S04 wameishiwa ubunifu na story waiue tu

    Wamemleta Frank Lucas ambaye sioni kama hata ana kauhalisia kwa mbali Bumpy yupo soft sana na hata hawa Gang leaders wengine hawana mvuto. The story is boring sana. Wanakosa stories za maana, wanakosa ubunifu. Wamechoka sana.
  13. Mindyou

    Hii story ya Barbara Hassan imenisikitsha. Nini husababisha majirani kuwa kimya namna hii?

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake. Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia katika malezi ya mtoto. Kumbe huyo dada alikuwa na tabia ya kumnyanyasa na kumtesa mtoto wake kwa...
  14. Jackpiano

    Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  15. Robert Heriel Mtibeli

    True Story: Kutoka kwenye kuongea kithembe na kuguguma guguma Mpaka kuwa Mwalimu Mahiri wa Kwaya

    TRUE STORY: KUTOKA KWENYE KUONGEA KITHEMBE NA KUGUGUMA GUGUMA MPAKA KUWA MWALIMU MAHIRI WA KWAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama kuna jambo unadhani huliwezi, nakuhakikishia unaliweza. Kama unadhani kuna jambo unalihitaji na umekata tamaa kulipata. Nakuhakikishia huja haja ya kukata...
  16. ELI COHEN

    JF Story: Shambulizi la kinyama chuo cha Garissa

    Mnamo Aprili 2, 2015, mwendo wa saa 11:30 alajiri, Chuo Kikuu cha Garissa kilichoko Garissa, Kenya, kilikumbwa na ugaidi pale watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab walipovamia chuo hicho. Washambuliaji hao, wakiwa na AK-47 na mikanda ya...
  17. M

    Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  18. ELI COHEN

    JF STORY TIME: Ugaidi katika Westgate; Moja ya Siku ya Giza zaidi jijini Nairobi

    Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Kisomali al-Shabaab walivamia jumba hilo la maduka...
  19. Youbettersleep

    Story : Jamaa wa pool table alivyowaingiza 18 wadau team jobless

    Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki...
  20. Ashampoo burning

    Story yangu na dem mpya wa msanii nusu nimle 2022

    Basi bwana mimi boss ashampoo 2022 nilikuwa napenda sana kutoka kila week kuanziia jmosi hadi jpili sometimes nikiwa na hela naanzia jpili Basi nilikuwa nakaa enzi hizo makumbusho apartment fulani sasa kuna hiyo company yangu fulani wao walikuwa wanakuja kwangu siku ya jumapili saa...
Back
Top Bottom