Hii stori imetaka kuniliza inasikitisha sana

Hii stori imetaka kuniliza inasikitisha sana

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,258
Kijana John Jay-Z, HUKO Instagram amesimulia, jambo zito, linalo ishi kwenye maisha yake Hadi Leo, baada ya kumaliza elimu yake kipindi hicho.

Alijiingiza kwenye kazi ya saidia fundi, anasimulia ILIKUA tarehe 3/10/2021 asubuhi saa kumi na moja.

Mama yake mzazi walie kuwa wanaishi NAE,j alikuja kumuamsha aende kazini kwenye vibarua vyake vya saidia fundi anapo tafuta riziki, mama wa watu akampa na nauli ya kuendea kazini, huku akimsihii asikate tamaa kwenye maisha, John aliamka na kwenda zake vibaruani.

Baadae John alipo Rudi nyumbani aka kuta mama yake kajinyonga Hadi kufa.
 
Hakuna jambo linamuumiza mzazi kama anapokuwa na tumaini kwa mwanaye kisha anamaliza chuo, haoni nuru, umasikini ni ule ule haoni chochote, kinachofuata ni kukata tamaa...

Naiwazia 2030 itakuwa na wasomi wangapi na wangapi watakuwa na kipato halali?

Ee Mungu tulinde wajawako
 
Mkuu mama zetu wanaumia sana Hali zetu za maisha zisipo kuwa sawa, wanaumia sana sisi tukipata niukuwaza k za Malaya ila mama zetu basi bhana
 
Baadae John alipo Rudi nyumbani aka kuta mama yake kajinyonga Hadi kufa.
Kajinyonga au kanyongwa?. Mama kapitia wakati mgumu akiwa anasomesha na kulea mtoto. Hapa mama ana dhalilika kupita nje ya maelezo, lakini mtoto kishakuwa na kumaliza masomo. Akitafuta ajira ndio mama ajinyonge?. Mateso ya kulea na kusomesha ni makubwa sana kuliko ya kusubiria ajira.
 
Mkuu mtoto ANAFANYA kazi ya saidia fundi, mama kakwambia mwanae shika nauli nenda kazini kapambane mwanangu usije wahi kukata tamaa, we huelewi nini? Mama kamuaga mwanae kwa mafumbo, badae ndo kijana akaelewa mama alimanisha nini
 
Ehee nilikua nakutafuta, nenda katafute Uzi wa WASANII KUKAUSHIWA sio masikhara, muone wale wanaowapamba wanavo dhalilika kapiga show BURE raia hazijatokea
Siku nyingine ukiwa unanitafuta nitag,marioo siku mbili ana views milioni
 
Back
Top Bottom