stand

Stand-up comedy is a comedy performance and narrative craft whereby a comedian communicates to a live audience, speaking directly to them through a microphone. The performer is commonly known as a comic, stand-up comic, comedian, comedienne, stand-up comedian, or simply a stand-up. Stand-up comedy is a dialogic monologue, or a grouping of humorous stories, jokes, and one-liners, typically called a shtick, routine, act, or set. Stand-ups may fuse props, music, magic tricks, or ventriloquism. Stand-up comedians perform quasi-autobiographical and fictionalized extensions of their offstage selves.

View More On Wikipedia.org
  1. Plot4Sale Kiwanja Bunju A Stand ya Shule, SQM 400, Milioni 8

    Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8. Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki kipo umbali wa kilomita 2 kutoka barabara ya Bagamoyo Road. Kiwanja hiki kina hati ya serikali ya...
  2. Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
  3. Kwanini stand ya Mnazi Mmoja haina sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria usafiri?

    Naziuliza mamlaka za jiji la Dar es Salaam. Inakuwaje pale stand ya Mnazi Mmoja hapajajengwa vibanda kwa ajili ya kujikinga na mvua au jua. Naongelea hasa huku kwenye daladala za Kinyerezi, Segerea. Mburahati na vibajaji vinavyo enda city centre. Vibanda hivi Husaidia pia mtu kupumzila pale...
  4. Vyoo vya abiria Stendi ya Msamvu Morogogoro vinasikitisha, mamlaka husika zitembelee kujionea

    Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri? Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada. Basi kufika mlangoni...
  5. Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Habari! Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
  6. Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

    Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani. One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
  7. K

    Hali ya barabara ya Stendi ya Magufuli - Mpigi Magohe - Bunju ni mbaya sana. Wizara ya Ujenzi, Mbunge wa Kibamba na na TANROADS, shida ipo wapi?

    KWENU WIZARA YA UJENZI, TANROAD NA TARURA pamoja na Mbunge wa Kibamba Awali ya yote niwashukuru kwa siku za nyuma kwa namna mlikua mnaisimamia barabara hii kwa ukarabati wa mara kwa mara. Kwa sasa hali ya barabara hii ni mbaya sana kutoka Mpiji magohe CCM hadi mbezi ni 10KM tu lakini kwa gari...
  8. The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  9. Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

    Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari...
  10. Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  11. How long shall they kill our prophets While we stand aside and look? Mtaendelea kuua manabii wetu hadi lini?

    Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui. Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu...
  12. If the people stand up, the party is over

    if
  13. T

    Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Ninashauri viongozi wanaohusika na masuala ya usafirishaji mkoani Shinyanga akiwemo Mkurugenzi wa Manispaa, wakae chini na kujadili namna bora ya kuitoa stand ya mabasi "manyoni" pale Ibinzamata waihamishie Nhelegani mashariki jirani na viwanja vilivyopimwa ili kurahisisha ukuaji wa mji pamoja...
  14. Maelekezo ya Naibu Waziri kuhusu ujenzi wa stand kuu Arusha wapuuzwa

    Ujenzi wa stand kuu Arusha bado ni kizungukumkuti hadi sasa licha ya maelekezo ya mara kwa mara kutoka serikalini kuwa ujenzi huo uanze mara moja. Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo mh. Geofrey Pinda alitoa maelekezo mwezi wa tatu mwaka huu kuwa ujenzi huo uanze ndani ya siku 30 lakini...
  15. A

    Hongereni TANROADS Dar kwa kudhibiti wafanyabiashara ndani ya Stand

  16. D

    Stand ya daladala Mbezi Louis imegeuzwa soko?

    Ni jambo la kusikitisha sana Stand ya daladala Mbezi luis kugeuzwa soko, hasa nyakati za Jioni kuanzia saa 12 Jion na kuendelea. Ukipita stand ya Mbezi luis kuanzia barabara ya kwenda Kinyerezi kunakuwa na foleni kubwa sana daldala haziingii ndani ya stand zinapaki na kushusha abiria njiani kwa...
  17. Stendi ya Magufuli Kuna kelele sana

    Sijui ni ubunifu au ni kitu Gani. Stand ya Mabasi ya Magufuli ni stand ukiwemo huwezi mpigia mtu simu akakuelewa..yaani ni makelele ya spika na matangazo mwanzo mwisho, Kariakoo Kuna uafadhali. Najiuliza kwani uongozi wa hii stand hawalioni hili? Kama ni wao ndiyo Wana regulate haya matangazo...
  18. Huwa kuna haja ya kuendeleza mahusiano ya one night stand ??

    Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
  19. Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
  20. Wasafiri Stand ya Magufuli (Dar es Salaam) kupimwa maambukizi ya Vizuri vya Ebola

    Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam. Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…