stand

Stand-up comedy is a comedy performance and narrative craft whereby a comedian communicates to a live audience, speaking directly to them through a microphone. The performer is commonly known as a comic, stand-up comic, comedian, comedienne, stand-up comedian, or simply a stand-up. Stand-up comedy is a dialogic monologue, or a grouping of humorous stories, jokes, and one-liners, typically called a shtick, routine, act, or set. Stand-ups may fuse props, music, magic tricks, or ventriloquism. Stand-up comedians perform quasi-autobiographical and fictionalized extensions of their offstage selves.

View More On Wikipedia.org
  1. Amani Girls Organization

    Boda Boda Hero: Pius Takes a Stand for Girls' Rights

    Pius, a boda boda rider from Bwiru B – Mwanza, has shown tremendous change in protecting his community against acts of gender-based violence and exploitation. One day, while going about his business and carrying a passenger, he came across an older woman beating an adolescent girl by the...
  2. S

    Stand up comedy watanzania wanahitaji kuelimishwa watofautishe Sanaa ya uchekeshaji na uropokaji

    Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta! Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha! Stand up comedy kuna vijana wachache sana tanzania wenye ubunifu wa kisanii! Wengi wao wanaropoka tu pasipo kuchuja maneno! Sijui ni bangi...
  3. Hharyson

    APPARTMENTS DESIGN STAND ALONE EACH UNIT WITH 3BEDROOMS (CHINI 1 JUU 2) PLOT SIZE 20X25M CALL US FOR DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650

    APPARTMENTS DESIGN STAND ALONE EACH UNIT WITH 3BEDROOMS (CHINI 1 JUU 2) PLOT SIZE 20X25M CALL US FOR DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  4. Determinantor

    Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

    Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na...
  5. Mwanongwa

    Mbeya: Baada ya mgomo wa daladala kutolipa ushuru, hatimaye Stendi ya Nanenane yaanza kurekebishwa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo. Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara. Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
  6. Mshana Jr

    Ubunifu: stand za viatu

  7. B

    Serikali yakubaliana na mkandarasi arudi saiti kukamilisha stendi ya Ngangamfumuni

    HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha stand yetu ya kimataifa ya Ngangamfumuni.. Hii ni furaha sana kuona stand hii ikimapiziwa na Serikali...
  8. Sun Zu

    Eneo linauzwa, jirani na stand ya SGR DODOMA

    Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA. Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali. 15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo. 0719928661
  9. M

    Stand ya Gharama ya Nyamhongolo, Mwanza hata usafi wa kuondoa Buibui mmeshindwa???

    Kodi mnakusanya lakini hata usafi wa kuondoa buibui mmeshindwa??
  10. ADESIGN

    Tv stand set used inauzwa

    Nauza TV stand set ambayo ina coffee table yake, ila cofee table yake imevunjika kioo cha juu tu, ni kukibadili tuu, kwahivyo nauza kwa bei nafuu, nitafte kama uko interested : 0684101707 Niko tabata kinyerezi.
  11. pombe kali

    Stand up comedians hamuwezi kuchekesha bila kutania dini/imani za watu?

    Najaribu kuangalia Sanaa ya uchekeshaji jinsi inavyopata umaarufu, ni kitu kizuri sana ila sasa binafsi nakwazika namna ambavyo dini ama imani fulani zinavyotumika katika kuchekesha na mbaya zaidi ni kwamba dini inayotumika ni moja sijui kwa nini hawatumii ile dini nyingine kwanza ni kinyume...
  12. Mwanongwa

    KERO Songwe: Vyoo vya Stand ya Mabasi ya Tunduma ni vichafu sana

    Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani? Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau ubovu wa miundombinu, nimeona mara kadhaa hapa JF watu wamekuwa wakiripoti kero hiyo kisha kisha wenye...
  13. Godee jr

    KERO Viongozi wa Newala rekebisheni choo cha stand ya mabasi

    Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo. Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho. Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote unaonekana. Cha ajabu ni kuwa mnapokea hela na kuruhusu watu kuingia. Nilijuta kuingia mle ndani na...
  14. K

    Hivi wapiga debe wa stand huwa wanalala muda gani?

    Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
  15. buyoya419

    INAUZWA Nauza Stand za laptop

    Nauza Stand ya laptop ya aluminium Zimebaki 9 Bei 15,000 Temeke Dar es salaam Namba 0710-599-055
  16. Lenin23

    Stand with amal, a humanity call.

    Hello! It's lennie here , Stand with amal ni complain iliyoanzishwa na kiredio huko Instagram kwaajili ya kupata 100 million zitakazotumika kumtibia mtoto amali nchini India, Mtoto amal anasumbuliwa na ini na at least wanahitajika watu 10000 watakao changia buku tu ili kuipata 100 million...
  17. GENTAMYCINE

    Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  18. Pascal Mayalla

    Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  19. DON YRN

    Stand ya mabasi Mwenge

    Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
  20. Miss Natafuta

    Stand Kali za laptop zimewasili

    Chagua hapo njoo inbox mapema tuu Wale WA dar nakuletea Hadi nyumbani kwako Karibuni sana
Back
Top Bottom