INAUZWA Alminium stand za Laptop

Mr Mjs

Member
Mar 22, 2024
20
10
STAND ZA LAPTOP.
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, matumizi ya kompyuta ndogo (laptop) yamekuwa muhimu sana katika shughuli za kazi, burudani, na mawasiliano.

Hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kutafuta njia za kuboresha matumizi ya laptop yako. Mojawapo ya suluhisho ni matumizi ya stand za laptop zilizotengenezwa kwa madini ya aluminium na zinadumu kwa muda mrefu.

SIFA ZA STAND
1. Zinaweza tumika kwenye laptop zenye ukubwa wa hadi 15.6 inch
2. Zinaweza kutumika hata kwa Tablets.
3. Zimetengenezwa kwa madini Aluminium hivyo zinadumu kwa muda mrefu.
4. Ni rahisi kubebeka. Unaweza kwenda nazo mahala popote.
5. Ina kunjika kwa urahisi
6. Ina ngazi sita za kusimama

FAIDA ZAKE NI KAMA:
1. Huongeza Mtiririko wa Hewa kwenye Laptop yako.
2. Husaidia laptop isipate moto sana.
3. Inasaidia kuwa na ufanisi katika kufanya kazi.
4. Kukupa uhuru wa kutumia laptop yako.
5. Hulinda kompyuta yako ndogo dhidi ya vumbi.

Zinapatikana kwa bei ya
Tsh 30000 tu kwa rejareja na
Tsh 28000 kwa Jumla
Delivery ni nchi nzima
Wasiliana nasi kwa
📲 0766673021 Call tu
📧 068633826 Kwa whatsapp na SMS tu.

IMG-20240315-WA0035.jpg
IMG-20240315-WA0031.jpg
IMG-20240315-WA0033.jpg
IMG-20240315-WA0036.jpg
IMG-20240315-WA0037.jpg
IMG-20240315-WA0034.jpg
 
Back
Top Bottom