spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa Rais Samia vs Spika Ndugai

    Huu ni mjadala muhimu kwa taifa. Kama ni kweli Serikali ilikopa $1.5B kujenga reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6 huu sio mkopo mzuri kabisa. Riba kwanza ni kubwa kwa serikali kwa sasa . Riba za mikopo ya serikali kwa uchumi huu inatakiwa kuwa 5% tena kwa miaka 20 sio sita. Nitarudi...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Peter Serukamba: Spika aache shobo

    Ama kweli kimeumana! Video nimekuwekea hapo chini na kilichonistaajabisha mwishoni mwa video shuhudia mwenyewe burungutu la minoti akiwahonga waandishi wa habari eti ya nauli.
  3. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia 'ampiga' Spika Ndugai

    Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani. Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wangu, usisubiri mpaka uharibifu wa Spika Ndugai ukuchafue

    Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu. Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa? Ukosoaji wa aina ya...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia anahangaika na mambo yasiyo na tija anaacha mambo ya Msingi

    Huwa namfuatilia mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia huyu pamoja na Ubunge ni Naibu Spika ni msomi mzuri wa Sheria. Lakini kiukweli akili ya kisiasa hana kabisa toka anajindaa kuwa Mbunge mpaka anakuwa Mbunge hakuna mambo ya maendeleo ya maana anayoyafanya. unamwona anaangaika na petty issues za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai usijilinganishe na Jenerali Ulimwengu

    Naona spika anapenda kijilinganisha na watu waliomzidi sana. Kwanza ilikuwa Prof Assad sasa Mzee Ulimwengu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

    Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri. Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama. Hii haisaidii nchi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo dhaifu au mfumo ndiyo mbovu wa kumpata Spika wa Bunge?

    Tangu 2016 hadi 2021 nimesikia Spika analaumiwa na yeye akiwa ndani ya Bunge analalamika hata akialikwa kwenye tukio kama mgeni Rasmi analalamika hadi anaongea nje ya mada ya tukio husika. Vigezo vya kuwa Spika ni dhaifu au mfumo mbovu wakumpata Spika?
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi nzuri Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao...
  10. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Bunge lisilaumiwe kwa kupitisha sheria ambazo baada ya muda mfupi zinarudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa. Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa Naibu Spika Tulia Ackson alimaanisha nini kwa alichopostí kwenye ukurasa wake wa Facebook

    Wadau wenye macho ya rohoni Tafadhali tazama na utafsiri alichopostí Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson
  12. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Spika na Bunge lake; ni maadili au hasira ya kutotaka kulipa kodi? Mwigulu aliyeshauri tuhamie Burundi je?

    Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Polepole na Gwajima wanaviburi sababu wanajua ata CCM wakiwavua uanachama Spika hatawanyanganya ubunge Kama Akina Mdee.

    Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kupeleka azimio la kumwondoa Spika Ndugai; analidhalilisha Bunge kwa maamuzi ya ovyo

    Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad. Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla. Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu. Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

    Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power. Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania This is very funny! Eti mbunge Jerry Silaa kaomba kibali cha spika ili wajumbe kamati ya "kuhoji" wakamtwe na kuletwa ukumbini...!!

    Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...? Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia...
  18. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Sio siri, bila wapinzani Bungeni ghadhabu za Spika 'hazinogi' kabisa. Filamu zetu zinakosa mvuto

    Wengi mnajua jinsi Spika Job Ndugai alivyokuwa 'akiwashughulikia' Wabunge wa Upinzani wakati ule wa Mwendazake. Alikuwa akitimiza agizo la 'kuwashughulikia' wapinzani ndani ya Bunge huku kazi ya kuwashughulikia nje ya Bunge ikifanywa kwa ustadi mkubwa na Mwendazake mwenyewe. Walengwa wakuu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Naibu Spika, Tulia Ackson akiwa mdogo

    Maisha ni safari ndefu Pichani Mheshimiwa Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiwa bado mdogo Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchapa kazi Source: Her Facebook Page
  20. N

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai shikilia hapo hapo, Mbunge asiyetaka chanjo aachie Jimbo

    Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu! Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
Back
Top Bottom