spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea tutarajie Spika mpya kuwa na hofu, asiye na maajabu

    Kwema Wakuu! Wote tumeshuhudia yaliyotukia. Yanastaajabisha na hata hivyo yanadhihirisha nyufa za wazi ambazo Kama taifa tunapaswa kuzifanyia mpango tuzizibe. Kilichotokea kinatukumbusha umuhimu wa Katiba mpya ndani ya taifa letu. Hata hivyo mambo haya yanabidi Yatokee mara Kwa mara na yaguse...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jina la Spika litashangaza wengi

    Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi. Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  4. evangelical

    JamiiForums Tanzania Spika akijiuzulu atapata hadhi ya Spika Mstaafu?

    Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya mishahara wake aliopokea kama spkika,diplomatic passport . Kwa subwoofer aliyejiuzulu itakuwaje?
  5. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Habari WanaJF, Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo; Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi? Je, Naibu Spika anachukua madaraka Moja kwa Moja? Karibuni Wajuvi ====== KWA MUJIBU WA KATIBA ya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  7. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kutoka 'kuua' upinzani Bungeni hadi kuwa 'mpinzani' Bungeni

    Maisha hayatabiriki. Maisha yana mambo mengi ya ajabu na yenye kutoa majibu. Maisha yanakwenda kasi sana. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamemfika. Yamemkuta na amefikishwa kwenye ukuta. 'Ameropoka'; akajitetea, akaomba radhi lakini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

    Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Spika Ndugai wanatafuta kiki tu!

    Ndio stage tuliyofikia WaTz, haya makelele ya Spika ndugai na Raisi Samia ni ya kutafuta kiki na kutaka kupindisha kule wananchi wanakotaka kwenda ,kwenye Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya. Wameondoka kwenye makelele wametuacha kwenye Mawaziri wepya, wandugu hayo ni yao CCM , Nyimbo ya...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awe Muungwana, ajiweke pembeni

    Imani huzaa Imani na hofu huzaa hofu. Kwasasa Rais hana Imani tena na Spika, ana hofu na Spika na kundi lake ambalo hajui wako wangapi, ni akina nani, wako wapi na wanapanga nini na nini lini na wapi dhidi yake. Hofu hii imesababishwa na mtu mzito sana kwenye nchi anaepigiwa salute na vyombo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa! Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake! Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa! Utawasikia wakisema haya! 1. Inchi imepoteza...
  13. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  14. MAGAMBA MATATU

    JamiiForums Tanzania Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

    Tanzania kuna mihimili mitatu, 1. Serikali 2. Bunge 3. Mahakama Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais na kula kiapo cha utii kwa Rais, sio Spika. Hatakubali ratiba ya kumhujumu Rais iingie Bungeni

    Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze. Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi ambayo Amiri wake ni SSH, wanamtii, hii ni pamoja na maafisa usalama wa pale Bungeni, Wana utii moja kwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  18. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MHE SPIKA NDUGAI. Na Elius Ndabila 0768239284 Mhe Spika Ndugai Shikamoo! Ni matumaini yangu Mungu anaendelea kukupigania katika hali yako kiafya. Jana wakati unazungumza na vyombo vya habari ulisema unachangamoto ya kiafya.Ninakuombea kwa Mungu upate tahafifu. Mhe Spika...
  19. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia. Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT” Bahati...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kupata Katiba Mpya itayolinda na kutetea maslahi ya Umma. Hajabagazwa Spika Ndugai bali Watanzania wamebagazwa

    Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa. Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive...
Back
Top Bottom