spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta spika ndogo za matangazo

    Habari Wakuu. Kuna hizi loud speaker ndogo ya kushika mkononi ambazo kwa mfano ukienda sokoni wafanyabiashara huzitumia kutangazia bidhaa zao au wengine hupita nazo mitaani kutangaza kwa mfano dawa za kuua wadudu. Nipo Arusha nimejaribu kuulizia kwenye maduka kadhaa sikupata. Anayejua wapi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  3. Fanxudy

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai achomwa chanjo ya COVID-19

    Japo na nesi kuvaa Gloves Mbona Kama mh. Kanuna ivi au anaumwa
  4. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane kumpata Spika na mstaafu Kikwete wakachanjwe. Itatusaidia

    Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti? Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

    Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, hamkuona uvuvi wa bahari kuu unaweza kulipatia taifa mapato kuliko kuwakakamua wananchi?

    Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu. Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

    Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
  8. dudus

    JamiiForums Tanzania Kinga ya Kutoshtakiwa Spika na Naibu Spika na Utamaduni wa Mabunge ya Commonwealth

    Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha". Kama tunavyojua...
  9. P

    JamiiForums Tanzania WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

    M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

    Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

    Binafsi huwa simuelewi
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

    CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika. 1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL. 2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

    SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

    Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mkiniona naharibu alaumiwe Makinda

    Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza. "Mama Makinda amekaa humu Bungeni takribani miaka 40 hii rekodi siyo rahisi na yeye...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge na mavazi yao sio jambo katika Taifa la leo

    Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
  20. msovero

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
Back
Top Bottom