spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
  2. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson simamia ubora wa bunge na michango yao Hii ni aibu nyingine

    Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani. Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wakina Mdee wajipanga kukata rufaa. Je, Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge?

    Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa mchakato wa kisheria dhidi yao bado haujakamilika kwa kuwa rufaa wanayojipanga kuikata bado...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

    Ndugu Spika Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola. Kwa hivyo labda unadhani una cha kuilipa fadhila serikali. Lakini nataka nikukumbushe tu kuwa...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

    Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi. Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.? 👇...
  7. Pjmwakyusa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ampa Onyo kali Mwita Waitara kutorudia kudharau madaraka ya Spika

    Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza. Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Spika waliorekodi tukio la Loliondo hawa hapa

    Nasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii.. Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Enzi za kutishana zimerudi tena, Spika anatisha, Nape anatisha

    Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi, "Sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia mkishamkamata wa Picha ya Loliondo muunganisheni pia na akina Kitenge na Oscar waliorekodi ile yao

    Hakuna kitu GENTAMYCINE nakichukia kama Unafiki na Kuonea Watu hovyo. Sasa nami nasema Kwako Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa ukishaletewa huyo uliyeamuru kuwa akamatwe kwa Kupiga Picha Loliondo tafadhali amrisha pia na Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge na Mchambuzi wa Mpira Oscar Oscar nao...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

    Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi zilizosajiliwa nchini zifate. ====== Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge. Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Spika aombe Mirembe wapeleke mabasi yao Bungeni wachukue vichaa wao, waliopo Milembe wana msongo wa mawazo

    Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na kuchukua watu wao akidai waliopo Mirembe ni wazima ila wana msongo wa mawazo wa maisha magumu...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Spika: ili kulinda hadhi ya Bunge, kwamba si sehemu ya mzaha, Mbunge aliyepiga sarakasi apelekwe kamati ya Maadili, aombe radhi nchi

    Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya Taifa. Ni mahala ambapo nchi inatarajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa. Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu. Huyu...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika amfuma Naibu Waziri kuleta majibu mawili yanayokinzana. Awataka Mawaziri na Manaibu kuyapa maswali uzito

    Leo Spika, Tulia Ackson ametoa mrejesho wa muongozo uliiombwa 20 May 2022 na mbunge wa Handeni, Reuben Kwagilwa ambapo aliuliza lini Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Handeni-Singida kiwango cha lami. Naibu waziri wa ujenzi, mhandisi Msongwe alisema Serikali imeanza ujenzi kwa awamu na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia akemea Wabunge wanaotangatanga na kupiga kelele wakati Bunge likiendelea

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ametoa onyo kwa Wabunge ambao hawafuati utaratibu wanapokuwa Bungeni ikiwemo kupiga kelele na kuzungukazunguka ndani ya Bunge pasipo kufuatilia kinachoendelea. “Tufuate kanuni zetu na utaratibu humu ndani ikiwa pamoja na kanuni ya 73 inayozungumzia staha ndani ya...
  19. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania SPIKA: Hauwezi kumfukuza Mbunge ambaye ameshapeleka kesi Mahakamani

    HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
Back
Top Bottom