Spika Tulia mkishamkamata wa Picha ya Loliondo muunganisheni pia na akina Kitenge na Oscar waliorekodi ile yao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Hakuna kitu GENTAMYCINE nakichukia kama Unafiki na Kuonea Watu hovyo. Sasa nami nasema Kwako Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa ukishaletewa huyo uliyeamuru kuwa akamatwe kwa Kupiga Picha Loliondo tafadhali amrisha pia na Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge na Mchambuzi wa Mpira Oscar Oscar nao Wakamatwe kwa alichokifanya huyu wa Loliondo hakina tofauti na Walichokifanya hawa yaani ni kama tu na kutaja Sewahaji na Mwaisela ambazo zote tu ni Wodi sawa pale Muhimbili National Hospital ( MNH )
 
Katelefoni ni muongo sana, ni mwendawazimu tu anayeweza kuamini porojo zake.
 
IMG-20220610-WA0005.jpg
 
Sijawahi kuona cha maana kwa huyu mwanamke, sijawahi kusikia akishauri jema, always taking negative sides and wishing evils for the people.
 
Back
Top Bottom