spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Ulega: Spika alishaagiza Wabunge wote kutokuwachokonoa viongozi Wastaafu

    Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

    Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu Sababu 1...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu familia yake ilipewa passport Ugiriki kwa kudanganya ni wasomali

    Familia yake ilisema wote wamezaliwa na kutoka Somalia wakati sio kweli walizaliwa Tanzania. Document zote zipo. Document zote zimenaswa. Kapewa wiki moja tu kustaafu kabla ya ushahidi kutolewa huko Ugiriki na uraia wa familia yake kuchunguzwa https://youtu.be/rugDxfcjRBE?si=TxtBCPvquHQtM5Hc
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: SPIKA ambaye hakukumbukwa na Bunge la kwanza la Mwaka 2025 wakakumbukwa waandamanaji! MLIO hai na mpo bungeni, mu Mavumbi TU

    Kweli Job ndungai SPIKA mtepe mtepe ndiye aliyesaaulika mara hii kwenye Bunge la 2025 hata wabunge mshindwe KUSIMAMIA hata dakika Moja kumwombea Badala yake mliombea waandamanaji walio UAWA? NAWAMBIA nyinyi wabunge MLIO msaau haraka hivyo hata nyinyi mu mtepe mtepe mnaweza saaaulika haraka...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya sheria ya usalama wa taifa kutowajibishwa kabisa.

    Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Daniel Sillo achaguliwa kuwa Naibu Spika Mpya wa Bunge kwa kura 371

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za ndio (371) zilizopigwa na wabunge huku akiwa mgombea pekee aliyegombea nafasi hiyo. Tayari Sillo...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Spika (Mussa Zungu)

    Tukiendelea kumpongeza Mheshimiwa Dr Musa Azzan Zungu. Naomba mwenye CV yake aiweke hapa kwa manufaa ya wengi. Asante Pascal Mayalla
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha: Kiinua mgongo ambacho...
  14. W

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi akanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

    Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge...
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

    Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu. Sitta 2005 - 2010 Makinda 2010-2015 Ndugai 2015-2021 Tulia 2021 - ?? Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
  18. C

    JamiiForums Tanzania Bunge lilipovunjwa Spika, Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge

    Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje. Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Tulia kabla hajawa Spika

    Kwenye pita pita nikakutana na pisi kali moja nikajiuliza huyu ni nani? Kumbe ni Dr. Tulia. Kipindi hicho bado hajapata wadhifa mkubwa na pesa hazijaanza kuingia, alikuwa ni manzi mkali aisee.
Back
Top Bottom