songea

Songea is the capital of Ruvuma Region in southwestern Tanzania. It is located along the A19 road. The city has a population of approximately 203,309, and it is the seat of the Roman Catholic Archdiocese of Songea. Between 1905 and 1907, the city was a centre of African resistance during the Maji Maji Rebellion in German East Africa. The city is poised to experience significant economic growth in the near future as the Mtwara Corridor opens up in a few years.

area was a restricted zone and occasionally suffered aerial attacks by Portuguese forces. Its remoteness until 1985 when a new British funded road was opened linking it northwards to the road and rail hub of Makambako.

Songea became a municipality in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali Kujenga Masoko Matano ya Mazao Halmashauri ya Songea

    WAZIRI JENISTA MHAGAMA ASEMA SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi zitakazo chochewa na ujenzi wa Masoko ya Mazao yanayotarajiwa...
  2. MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili. Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na ninahitaji kujiunga na chuo cha Ualimu cha Songea (Songea Teachers' College) ili nisomee Diploma kwa...
  3. Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  4. Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  5. Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  6. Songea Kunufaika na Mradi wa Maji wa Bilioni 145

    NW MAJI ENG. MARYPRISCA MAHUNDI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA - SONGEA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA 145 BILLIONI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 10 Machi, 2023 akiwa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ameshuhudia utiaji saini mkataba mradi mkubwa wa Maji wenye...
  7. Erasto Nyoni asaidia kuwalipia nauli MajiMaji ya Songea

    Beki wa kati wa Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli juzi alifanikiwa kuwasaidia kulipa na kuwapa Tsh. Milioni moja ambayo wamefanya nauli ya kurejea Songea. Erasto ni Mwenyeji wa Songea na ameongea...
  8. K

    Mradi wa golf Songea manispaa umekwama wapi?

    Habari Wana jamvi,mwaka 2021 halmashauri ya Manispaa ya Songea ilikwenda kata ya Subira iliyopo Manispaa ya Songea na kuhitaji ardhi zaidi ya ekari 300 kwa maelezo kuwa wana jenga mradi mkubwa wa mchezo wa golf. Mradi huo ungehusisha ujenzi wa five star hotels, shopping mall na vivutio vingine...
  9. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  10. M

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  11. Mhudumu wa Songea

    Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo. Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu...
  12. Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

    Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mbele ya Jaji Dk. Yose Mlyambina kwenye Masijala Ndogo ya Songea. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Seif Chombo, Abdallah Chombo, Mohamed Kamala, Athumani Chombo, Omary Mbonani na Rashidi Ally...
  13. Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa. Nimeota haya leo
  14. Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema. Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
  15. Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

    Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji. Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia...
  16. Siri ya watoto kumzika baba yao akiwa hai Songea

    Imani potofu za kishirikina walizonazo baadhi ya vijana wa Kijiji cha Mahanje, mkoani Ruvuma hasa anapokufa kijana mwenzao, zimesababisha vifo na mateso kwa wazee wanaotuhumiwa kuhusika na vifo hivyo. Mbali na vifo, pia wamekuwa wakiwahusisha wazee na matatizo yao, ikiwemo kuumwa kwa madai...
  17. D

    Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

    Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga. Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa. Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
  18. Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  19. Tv E hamna mkoa unaoitwa Songea

    Nimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa S
  20. S

    Mrejesho wa usahili wa TANROADS Songea kitengo cha mizani

    Habari wakuu samahani nilikua nauliza kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu baada kufanya oral interview ya tar 18/5 mwaka huu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…