songea

Songea is the capital of Ruvuma Region in southwestern Tanzania. It is located along the A19 road. The city has a population of approximately 203,309, and it is the seat of the Roman Catholic Archdiocese of Songea. Between 1905 and 1907, the city was a centre of African resistance during the Maji Maji Rebellion in German East Africa. The city is poised to experience significant economic growth in the near future as the Mtwara Corridor opens up in a few years.

area was a restricted zone and occasionally suffered aerial attacks by Portuguese forces. Its remoteness until 1985 when a new British funded road was opened linking it northwards to the road and rail hub of Makambako.

Songea became a municipality in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Serikali yazindua mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Akizungumza...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya kuibuka Kizinkazi Chatolite ya Jiwe inaendeleaje na baada ya Kizi tungojee Songea?

    Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

    Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo... Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tsh. Milioni 15.6 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 Manispaa ya Songea - Ruvuma

    Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao wanaodaiwa na kumesitishiwa huduma ya maji na Mamlaka za Maji nchini. Ofa hiyo imelenga kuhakikisha kuwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  6. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Semina kubwa Songea, Wajumbe zaidi ya 800 wa siasa na Serikali za Mitaa wafikiwa na Mama Samia Legal Aid

    Hii ndio Tanzania ya watu wote. https://www.youtube.com/live/CIfhuj_3bvM?si=hu0-rcS5CnzB9JT9
  8. I

    JamiiForums Tanzania IAA yaanza ujenzi wa kampasi ya Songea, Bilioni 18 kutumika

    Shilingi Bilioni 18, zimetolewa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), ili kufanikisha ujenzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kampasi ya Songea. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Kanali Ahmed Abbas wakati wa hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 TAKUKURU mulikeni na kwa Waziri Ndumbaro, anapenyeza michuzi kuhonga wajumbe Songea

    Wakuu, Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe. Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao. Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini. Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live from Bombambili Songea: Uchaguzi Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), M/Kiti Deodatus Balile, M/M/Kiti Bakari Machumu, Wapita Bila Kupingwa!

    Wanabodi Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu. https://www.youtube.com/live/aikWUmkeZoQ?si=XurjnnZA5ESAjUmB...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waendelea kutimkia CCM, Kingozi wa BAVICHA Songea ahamia CCM, aitaja 'No Reforms No Election' asema ni maneno ya vita

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani. Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya

    Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya Songea: Miaka minne bilioni 188 zatumika miradi ya maendeleo Songea

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma imenufaika kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye zaidi ya shilingi bilioni 188 katika kata 21 zinazounda manispaa hiyo. Akieleza...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Songea: Kuna Chama mbadala cha walimu imesababisha competition ya kisiasa zaidi, inaleta madhara utendaji kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano...
  17. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Nimetembelea Songea nimekutana na Majina Yao ya asili (kingoni)

    Nipo Songea katika pita pita zangu nimekutana na Majina haya; Mzee Nguruwe Mzee Ngonyani Mzee Simba Mzee Tembo Mzee Nyoni Mzee Ngiri Mzee KOMBA Tausi huyu Binti wa kike Wenyeji wa Songea kama nimeyasahau mengine shusha hapo
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya mkazi wa Songea: Kwa mfumo wowote ule upinzani hawataweza kuing'oa CCM madarakani

    "Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka Kupata...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo. Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
Back
Top Bottom