songea

Songea is the capital of Ruvuma Region in southwestern Tanzania. It is located along the A19 road. The city has a population of approximately 203,309, and it is the seat of the Roman Catholic Archdiocese of Songea. Between 1905 and 1907, the city was a centre of African resistance during the Maji Maji Rebellion in German East Africa. The city is poised to experience significant economic growth in the near future as the Mtwara Corridor opens up in a few years.

area was a restricted zone and occasionally suffered aerial attacks by Portuguese forces. Its remoteness until 1985 when a new British funded road was opened linking it northwards to the road and rail hub of Makambako.

Songea became a municipality in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aridhishwa na Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Songea

    RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Akagua Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea, Bilioni 40.87 Zatumika

    RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100%...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia akagua ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa ndege cha Songea, Tsh. bilioni 40.87 zimetumika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kuelekea Tamasha la Tatu la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Mapema leo Septemba 13, 2024 hapa Manispaa ya Songea, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesalimiana na wanachama wenzake wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, UWT, na UVCCM. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesema Tukutane Tamasha la Tatu la...
  5. Faana

    Mnaokumbuka hii? Ilikuwa 12:00 Songea mpaka 12:00 Dar

  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Damas Ndumbaro Atatua Kero za Wananchi Jimboni Songea

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Julai 9, 2024 ameanza rasmi ziara katika jimbo hilo kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika ziara hiyo Mhe. Ndumbaro ameambatana na wataalamu mbalimbali kutoka katika Manispaa ya Songea...
  7. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Ndumbaro Awakumbusha uadilifu UVCCM, Songea

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Manispaa ya Songea Mjini wawe waadilifu katika utekelezaji wa majukumu ya Chama na maelekezo ya viongozi ili kukiendeleza Chama...
  8. Chatta g

    Q NET imerudi tena kwa kasi sasa inafanya utapeli mikoa ya kusini (Songea, Mtwara ,Njombe, Iringa)

    Nashindwa niandike kwa namna ipi ili ieleweke kwamba hakuna pesa za bure, vijana tufanye kazi hata kama ajira hakuna Ila tufanye kazi tu hizo hizo za windani umachinga . Ipo hivi.. Pwani-mlandizi mtaa wa tanesco kalibu na idara ya maji pale (Mara yangu ya kwanza kufika), QNET wamekodi nyumba...
  9. The Supreme Conqueror

    Nguli wa vita vya majimaji 1905-1907 Nduna Songea Mbano

    JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Ruvuma na jina hilo linatokana na shujaa wa Wangoni, Nduna Songea Mbano. Ni vigumu kuilezea historia ya vita ya Maji Maji bila kutaja...
  10. Roving Journalist

    Mbunge Joseph Mhagama: Barabara ya Makambako – Songea imeharibika vibaya, lini Serikali itasikia kilio chetu?

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296. Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na...
  11. BARD AI

    LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

  12. A

    DOKEZO Maji ya bomba ya mamlaka ya maji Songea (SOUWASA) yanatoka machafu

    Kwa wananchi wanaotumia maji kutoka mamlaka hii (SOUWASA)tumekuwa tukisumbuliwaa sana kutokana na maji machafu mekundu ambayo siyo salama kwa matumizi ya nyumbani. Hii ni changamoto ya miaka na miaka, ukiwapa taarifa wanakwambia yafungulie mpaka yatakapoanza kutoka masafi na ilhali maji hayo...
  13. TODAYS

    Chimbo jipya la Madini laibuka Songea, Mnakaribishwa.

    RUVUMA. Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika. Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa. Kwa sasa magari hayawezi...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  15. GENTAMYCINE

    Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  16. Analogia Malenga

    Barabara ya Njombe kwenda Songea haina viwango vya barabara za mkoa

    Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe. Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA...
  17. LIKUD

    Niende Newalla au Songea?

    Nataka kufanya utalii wa ndani. Niende wapi kati ya Newala au Songea? Sijawahi kufikia Songea nasikia warembo wa Songea warefu halafu wana misambwanda kama ya ndugu zao wa South Africa. Kuhusu Newala nataka utundu wa watoto wa kimakonde. Nimeshaonja wamakonde wawili lakini wamezaliwa mjini...
  18. S

    Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  19. H

    Tahadhari: Wizi wa betri za magari Songea

    Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani, JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
  20. D2050

    Leseni za Biashara kukwama kutolewa Songea, wahusika wanatengeneza mazingira gani?

    Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa kuwapa leseni za biashara zao. Maafisa Biashara Wasaidizi wamekuwa wakiwajibu Wafanyabiashara...
Back
Top Bottom