A
Anonymous
Guest
Mimi Mwanafunzi wa Kampala (KIUT), Kozi ya Pharmacy, kuna jambo linatukera sana, kuna tabia ya Walimu kukomoa Wanafunzi, kutuwekea mazingira magumu ya kufaulu mtihani, na njia pekee ya kutoboa hapo ni “kunyoosha mkono uwe mrefu” jambo ambalo linatushinda Wanafunzi wengi, hatuna uwezo huo ikifika mpaka Shilingi 200,000 inatuumiza sanaa.
Mtu anayehusika anatuambia tukitoa mpunga hakuwekei ‘sup’ japo anafanya indirect na kwa msisitizo anasema ukipata sup yake hauwezi kuchomoa kwa kufanya mtihani, hii ndiyo kauli yake hata darasani keshawahi kutuambia, kwahiyo ni kama vitisho anatufanyia ili tutoe tu kiasi hicho cha hela.
Pia ukijulikana unashtaki kwa uwongozi wa juu akikushikilia ndiyo mtihani wake sahau kufaulu kabisa hata uki-carry or ukapata sup, ni kama anakwambia ku-graduate wewe itakuwa ngumu.
Somo husika ni Pharmacognosy Mwaka wa Tatu na pia huwa hata utungaji wake wa mtihani anatuekea mazingira magumu hata kwenye mtihani ili kuchukulia advantage ya kutoa hiyo pesa.