State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.
Wakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
Hell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana...
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana na nini! katika maelezo haya tutatumia KSH/TSH kama mfano
Exchange rates ni nini:
Exchange rates...
Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini...
Jiwe hakupenda kukosolewa, na kila aliyejaribu kumkosoa alikomeshwa na wako wengine waliuawa akiwemo Ben Saanane
Kimsingi Askofu wa huko kwao Niwemugizi wa kanisa katoliki , Kanisa ambalo Jiwe alibatizwa alikataa kuwa chawa na akashughulikiwa, lakini ndiye aliyenyunyuza maji ya baraka kwenye...
🔁 Katika somo letu lililopita, tulijifunza kuhusu faida ya gawio — sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa.
📍 Leo, tunachambua tarehe muhimu zinazotajwa kampuni inapokuwa imetangaza gawio, ambazo mara nyingi huwachanganya wawekezaji wapya.
1️⃣ Dividend Declaration Date – Tarehe ya...
Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana.
Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala...
Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha.
Ni chuma kilichomdhibiti Dr. Slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji.
📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo.
📍 Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii...
Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha.
1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini?
Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha.
1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini?
Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama.
Hii ndio demokrasia.
Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25%
Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili ya kufanya utafiti kwani jibu lipo waziwazi;
"MASHULENI HAKUNA WAALIMU WAKUTOSHA NA WENYE SIFA YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.