Je, labda huwa nakosea?
Nikishasoma SMS nafuta, huwa sikai na SMS kwenye simu.
Sababu ilikuwa ni jinsi navyojikuta nimetumiwa text nyingi na mtu ambaye naweza kuwa namfahaamu na nime msave kwa jina.
Halafu wakati huo huo natumiwa text na huyo kwa namba ambayo sijaisave siku zinaenda kwa kasi...