EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Habari za Leo wakuu,
Kumbe Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayosoma form five na six ndio hiyo hiyo inayosomwa U.S, China, Ufaransa na mataifa mengine.
Tofauti ni moja tu sisi hutufanyi practical za tunacho kisoma. Ila hesabu, na maelezo yote ni yaleyale. Principal ni zile zile.
Na tatizo hili linatokana na ukosefu wa vifaa vya kufanyia hizo practical.
Basi mimi ningeshauri tuanzishe kampeni ya uchangishaji wa fedha za kununulia vifaa vya maabara za shule zetu za Advance kwa somo la physics na chemistry.
Tuhakikishe practical zote za kwenye vitabu vya CHAND zinafanywa na wanafunzi wetu.
Alafu tusikilizie baada ya miaka mitano mtakuja kunipa mrejesho.
Elimu tunayo soma Advance kwenye masomo ya sayansi (Physics na Chemistry) kama ingekua na practical za kwenye vile vitabu tungeendelea sana kiteknolojia.
REJEA HIVI VITABU
CHAND XI ADVANCED PHYSICS
CHAND XII ADVANCED PHYSICS
CHAND XI ADVANCED CHEMISTRY
CHAND XII ADVANCED CHEMISTRY
N. K
Vitabu vingine wataviorodhesha wachangiaji.