Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,159
- 4,078
Ndani ya Maktaba.co.tz unaweza kusoma na kusikiliza vitabu karibu 140. Gharama ni kuaznia Tsh 1,500 kwa mwezi. Unatumia kwa simu au PC. Karibu.
Kina hadithi nzuri. Vyote hivyo vya Hammie Rajab ni vizuri, mwandishi mkongwe.Hiko sitaki sijavhnja ungo kinaonekana kizuri sana.