soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

    Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka. Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

    Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje. Jambo hilo ni hatari sana Kwa mustakabali wa kilimo na wakulima wa Tanzania. Gharama za uzalishaji zimepanda sana, kila...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Juhudi za kukuza kilimo lazima ziendane na soko huria

    Sera za kuendeleza na kukikuza kilimo ni lazima ziwe sera za kitaifa (zisizobadilika) na si sera za chama au hisia za Rais aliyeko madarakani. Kilimo ni biashara na ili ifanye vizuri na kuvutia watanzania wengi ni lazima iwe wazi kuwa itakuwa kwenye soko HURIA, bei ijipange yenyewe kutokana na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

    Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana. Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid. Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga. Kutokana na mabadiliko...
  5. JamiiForums Tanzania Magufuli alipanga bei ya bidhaa mkasema anaingilia soko, Mama ameacha soko liamue mnasema maharage na nyama bei moja

    Watanzania ni watu wa ajabu sana. Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko. Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako ndio mtu maarufu kutoka Arusha toka tupate Uhuru

    Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha. Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
  8. JamiiForums Tanzania Nani atawahi soko la maziwa makuu kati ya Tanzania (Dar port) na Kenya (Mombasa port)

    Mwaka 2014 kenya ilikopa fedha kutoka china kupitia bank ya exim ili ku implement ujenzi wa reli toka mombasa port adi Rwanda kupitia Uganda. Ujenzi ulianza immediately, but reli iliishia mji wa naivasha nchini kenya nakupelekea nchi kupata hasara. Mwaka 2022 Tz imekopa fedha kutoka china kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Imegundulika kwamba Kampuni ya JATU PLC iliyosajiliwa DSE ni ya kitapeli

    Tanzania haiishi vituko. Soko la Hisa la Dar es Salaam wanafuatilia kampuni ambayo imesajiliwa kwenye soko hilo inayoitwa JATU PLC. Hii ni kutokana na hisa za kampuni hiyo kushuka kutoka TZS 2,900 hadi TZS 290 sawa na angulo la asilimia 90. Angalia hapa. Swali la kujiuliza, kabla ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nilizopata muda huu kumhusu Mfanyabiashara katili Soko la Kawe Bwana Cherehani ni kwamba ameshakamatwa

    Nianze kutoa Shukran zangu nyingi kwa Uongozi mzima wa Mtandao huu mkubwa wa JamiiForums hasa Kwake Mwanzilishi Maxence Melo Pili nitoe Shukran zangu nyingi sana kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia kwa IGP Wambura kwa Utendaji na Ushirikiano wake wa Kutukuka uliozaa Matunda. Tatu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

    Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

    Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia. Tukio Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe ya Kumkamatisha Mwanaume aliyehisi anatoka na Mkewe ambaye kwa sasa ni Mjamzito. Siku ya Alhamisi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uganda na Zambia ni moja ya nchi kumi zitakazopata fursa zaidi ya soko nchini China

    Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, Halmashauri ya Jiji mnataka kutuletea kipindupindu wakazi tunaoishi karibu na Soko la Mbogamboga la Ilala? Njooni mzoe taka zenu

    Habari zenu! Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
  16. J

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Bei ya mafuta yapanda tena hadi 3247 Dar, wakati soko la dunia ikishuka mara dufu

    #BIASHARA Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli katika mwezi Desemba 2022 kwa mkoa wa Dar es Salaam, imepungua kwa shilingi 59 kwa lita ambapo petroli itauzwa shilingi 2,827 kwa lita, na bei ya dizeli pia imepungua na itauzwa kwa shilingi 3,247 kwa lita. Bei hizi zitaanza kutumika kesho Desemba...
  17. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda kwenye soko la dunia

    Bei ya mafuta ya petroli imepanda leo Desemba 6, 2022 kwa asilimia 2 na kufikia dola 87.3 kwa pipa, saa chache baada ya kuanza kutekelezwa kwa hatua kadhaa za mataifa ya magharibi zinazolenga kupunguza mapato ya Urusi katika sekta yake ya nishati. Ongezeko hilo limeshuhudiwa baada kuanza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  19. JamiiForums Tanzania HIMARS zazidi kupata soko duniani, haitakua rahisi kukimu uhitaji wake

    Kwa zilivyomlemaza Mrusi, zinahitajika kote, hata Waarabu watazihitaji sana na kuhama utegemezi wao kwa Urusi... The Estonian government on Saturday announced the purchase of U.S. HIMARS multiple rocket launcher systems worth more than 190 million euros, the Ministry of Defense Investment...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…