soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Luis Nani - Kutoka Maisha Magumu Hadi Ustaa wa Soka

    Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari. Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

    King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajahudhuria msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake hajawahi kumtaja Soka?

    Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwananyazala: Soka na Siasa haviwezi kutenganishwa!

    Wakuu, Hili nalo mkalitazame! ===== Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau maarufu wa soka nchini, Hussein Makubi Mwananyanza, amewashukuru kwa dhati wadau na wapenzi wa soka waliojitokeza kwa wingi kupiga kura mnamo tarehe 27 Novemba 2024, hatua iliyokipatia CCM ushindi wa...
  9. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa stadium kuwa Olympic Stadium badala ya Football stadium ni kuwadhulumu mashabiki wa soka Tanzania

    Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa. Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa. Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

    Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao, Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

    Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja. Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu Yanga bado ina kitete...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

    Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena. Je ndio washamalizana na Soka? Pia soma Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

    Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini. Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana...
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

    mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM mnaharibu Soka nchini

    Wakuu salam, Rais, chawa wako na CCM hamuoni kama mnazidi kuididimiza soka mwishowe na yenyewe iwe kama ilivyokuwa ngumi kipindi kile? TUmefikia hatu tunaombea tufungwe ili tu kuwakomoa CCM, lakini ukweli ni kwamba mnawaumiza hawa vijana na wengine wengi nyuma yao wanaotegemea soka kama...
  17. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ovyo katika Soka letu

    Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20? - Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la soka nchini Nigeria lapiga marufuku kushangilia kwa mtindo wa Baltazar

    Shirikisho la soka nchini Nigeria limepiga marufuku wachezaji nchini humu kushsngilia kwa mtindo mpya wa Bathazal ambapo mchezaji wa timu ya Shooting Stars aitwaye Mustafa alishangilia baada ya kuipatia timu yake goli muhimu shidi ya wapinzani wao El Kanemi Katika tukio hilo Mustafa alifanya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
Back
Top Bottom