Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

Mi mi

JF-Expert Member
Jul 14, 2024
638
1,359
Deusdedith Soka
20240826_192923.jpg

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au ?
IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
 
Nenda kituo cha polisi Chang'ombe ukawaulize yuko wapi wanaweza kukuonyesha maana wao ndo wanatuhumiwa wako nae
 
IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
Ipo siku kweli yana mwisho.

Wa mwisho atakuwa wa kwanza na wakwanza atakuwa wa mwisho dunia duara.

Tutekana tekana ni mambo ya kishamba.
 
IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
Kwa nini Lucas Mwashamba huwezi kumuoma akipigania haki? Yeye ni Mpenzi wa nini hasa? Uzalendo wake uko kwenye nini?
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Biblia inasema msiwagope wauao miili muogopeni auwaye roho na mwili
Ccm wanataka kutengeneza uoga ili waibe billa kusemwa

Lakini kanuni za asili zinakataa
Hii wanayoitumia ni njia ya mkato na muda mfupi tu
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Katikati ya kashfa ya wao kutuhumiwa kuteka na kuua watu, wakaja na maelezo mareeeefuuu ya kukamata ‘wauaji’ na kufukuliwa kwa watu waliouawa ‘wauaji’ hao.
Lakini hakuna hata Polisi mmoja aliyekamatwa kuhusishwa na utekaji wa raia na kuwapeleka waliotekwa kwenye gereji ya Polisi. Hayo hawataki kuyachunguza.
 
Leo siku ya 12 ndugu yetu kimya kizito.

Huu ni ukatili wa kiwango cha juu sana.
 
Siku nyingine hii wakati wengine tukilala kwa vitanda tutambue ya kuwa ndugu yetu hajulikani alipo na je, ana lala kama sisi au amelala usingizi wa milele ?ni majonzi kwa ndugu jamaa na marafiki.

Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom