Habari,
Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown.
Pia ya transport na logistic low cost web version.
Nawasilisha
NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
Samahani wakuu
Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu.
Asante.
Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati.
Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida.
Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo.
=========
A statement...
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka.
Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...
App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti
Unaweza kufanya yafuatayo
Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF)
Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers)
Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf...
Ndugu zangu,
Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.
A quick introduction about the project;-
Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko
Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote"
Unaweze kupata kwa kupambana
Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha!
Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam, TANZANIA.
Job no: 545553
Contract type: Consultancy
Level: Consultancy
Location: United Republic of Tanzania
Categories: Knowledge Management
UNICEF works in some of the world’s toughest places, to...
Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu
Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk.
Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?
Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
tHL Accounting Live Class: FURSA kwa vijana wenye Degree za Account, Finance, Business Administration, Economics au Procurement. Kupitia tHL Accounting Live Class tutatoa mafunzo ya mfumo wa tHL Accounting online bure kuanzia tarehe 01 October 2021. Jinsi ya kujiunga na mafunzo ingia...
Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa.
Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu:
masomo shuleni
stori kijiweni
habari magazetini
mahubiri ibadani
nk.
Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe.
Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda.
Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
Wakuu salam kwenu. Niko hapa naomba tips za wapi pa kugusia kwenye written exams za utumishi kada ya ICTO upande wa software developer na Sys Admin.
Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi naona kama napapasa gizani.
Msaada wenu wadau kitaa pamekaza kinoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.