tHL Accounting Software Trainer

tunza

Member
Jul 14, 2009
70
20
tHL Accounting Live Class: FURSA kwa vijana wenye Degree za Account, Finance, Business Administration, Economics au Procurement. Kupitia tHL Accounting Live Class tutatoa mafunzo ya mfumo wa tHL Accounting online bure kuanzia tarehe 01 October 2021. Jinsi ya kujiunga na mafunzo ingia www.thlaccounting.com kisha fungua Live Class, Utapata maelekezo.
tHL Accounting ni Mfumo Rafiki wa Kisasa na Rahisi kutumia kuendeshea na kuongoza biashara au kampuni yoyote, Popote ulipo online. Kuupata ingia https://thlaccounting.com/

tHL Tunayo FURAHA vijana wengi wameweza kujiajiri wenyewe na wengine kuajiriwa kupitia mfumo wa tHL Accounting kwa kuwafanyia wafanyabiashara na wenye Makampuni trainning namna ya kuutumia mfumo wa tHL Acconting pale inapohitajika.
Ni dhahiri kwamba ili vijana waweze kujitengenezea ajira wanahitaji nyenzo, mbinu na soko la uhakika HIVYO tHL Accounting inawapa vijana uwezo wa kujiajiri wenyewe na SIFA ya kuajiriwa pia.

Vijana sasa wana nafasi ya kujifunza online kupitia www.thlaccounting.com na wakiuelewa mfumo wa tHL Accounting wanafanyiwa majaribio ya kina, kisha wakifaulu wanapewa cheti na kuanza kuhudumia wahitaji wengi wa mfumo wa tHL Accounting kila mkoa.
 
Back
Top Bottom