Keco Group ltd
Member
- Oct 3, 2020
- 13
- 2
Habari wanandugu wenzangu naomba kwa mtu anae fahamu software ya Video Editing na Graphics kwenye Ubuntu tuwasiliane nitamlipa.
Create Joh unafahamu namna ya ku install?Openshot
Shotcut
Cinelerra
For video editing
Karbon
Inkscape
Vectr
For designing
Nenda YouTubeCreate Joh unafahamu namna ya ku install?