Habari njema kwa wanaohitaji application,website and desktop apps

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu,

Kwa upande wa Mobile Application iwe Android au iOS platform ,
Katika mifumo miwili hiyo hapo juu unaweza kujipatia
App za mifumo
App za kioffice
App za majukwaa
App za Biashara nk
Pia katika maorodhesho hayo hapo juu inaweza kuwa ni Desktop App au Website,

Garama ni nafuu lakini inayoendana kabisa na bidhaa yako,
NB: Hayo yote tunafanya kwa kuzingatia kile mteja anachokuwa anakihitaji,
Kukiwa na swali lolote unaweza ukauliza hapa lakini kwa urahisi zaidi wa kimawasiliano piga simu kwa namba hii 0714 56 79 29 muda wowote.
 
Back
Top Bottom