software

  1. Jibebe Inc

    JamiiForums Tanzania SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  2. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

    Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Regional LIMS Software Developer Manager at CIHEB

    Background The CIHEB 201 Regional Software Team is a specialized software development team with an international staff of 14 and growing. This dedicated group of software developers and computer scientists apply their expertise in building applications, architecting systems, and engaging users...
  4. kali linux

    JamiiForums Tanzania Customized Software development courses by me. I'll teach you how to geek in coding

    Hello bosses, Ni kwa muda sana sijaandika makala kuhusu computer programming. Kiukweli kuna watu wanahitaji kufahamu Programming na kuweza kuitumia kupata kipato, nina uhakika na hilo kwa sababu wengi wamekua wakinifuata PM kuniomba guide. Leo hii natoa guide generally kwa wote wenye UHITAJI...
  5. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Kama software engineer (experinced Software Craftsman) umepanga kujifunza nini huu mwaka?

    hello bosses, ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Ni software gani inayoweza kufanya hard subtitling

    Ni software gani ambayo ni easy kufanya hard subtitling, yani ninamaanisha kufanya srt, au ass file kuwa completely merged na mp4 video. Nimekuwa nikitumia MKVnxtool lakini inachokifanya ina work kwenye VLC tu ila nikiplay file na player nyingine subtitles haziji au nikimtumia amtu haioni...
  7. Mtini

    JamiiForums Tanzania Nimekosa driver ya moderm huawei k3772z kwa window 10

    Moderm yangu ya K3772z huawei huwa haiji install yenyewe napochomeka kwenye pc mpya hadi nidownload kutoka external source. Sasa changamoto niliyo nayo ni moja, nimeshagoogle hadi nimekata tamaa sijapata driver za window 10. Naishia kupata window 7. Msaada plz
  8. magabelab

    JamiiForums Tanzania VAT Calculator software

    Pakua hapa
  9. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Anayejua software ya ku-type kwa kuongea

    HELLO Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno. Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe...
  10. FedhaBook

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Software hizi lazima ziwepo kwenye PC yangu, wewe?

    Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet. Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k IDM kwajili ya...
  12. kali linux

    JamiiForums Tanzania Human being living in 21st centuary is like running new software on ancient/old hardware

    Hello bosses... Em tutafakari kidogo. Binadamu tunajiumiza sana pasipo na sababu za msingi, miili yetu haijaumbwa/haijaumbika kwa ajili ya mazingira ya sasa hasa kwenye hii karne ya 21 na ndio maana kuna milipuko ya magonjwa ya ajabu kama vile kansa. Tunalazimisha miili yetu yenye physiology...
  13. Mzambuli911

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma sms moja kwa watu wengi (bulk sms) software?

    Hello wakuu hakuna software ya kutumia mfano watu 1000 message kwa wakati mmoja kama IPO ya free itapendeza sana kama ilivyo manychat kwa fb messenger
  14. C

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa laptop (Hardware na software )

    Habarini wakuu Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm Nawasilisha
  15. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Laptop zimewasili na Offer ya bure ya Software ya Research

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo: 1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 4...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Software ipi nzuri kuhifadhi data na kurestore data pale computer inapocorruot ama window ku espire??

    Wakubwa, Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu vyote vya mwanzo kama kawaida. Natumia window 7 32 bit system. Pia nikiwa narestore data zote iwe...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Mac Apple na Laptop nyingine zimewasili na ofa ya software ya exportation analysis

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji car diagnosis software ya kutumia kwenye PC pamoja na OBD2 cable

    Habari wajumbe! Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me.
  19. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Laptop Zimewasili Na Ofa Ya Software Ya Research

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo: 1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 2 gb,zinakaa...
  20. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Developer software engineers idea

    Habari ya muda huu wakuu Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
Back
Top Bottom