software

  1. kali linux

    JamiiForums Tanzania Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

    Hello bosses.... Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative gani kizazi hiki hazitokuja kuwa replaced. Kiufupi hizo ni:- 1) BLOOMBERG TERMINAL 2)MICROSOFT EXCEL...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa 'software' anahitajika

    Habari wakuu? Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni. Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:- Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe...
  3. shetani aka shetty baby

    JamiiForums Tanzania Software ipi kwenye PC inaweza ikatumika kuhifadhi apps mbalimbali?

    Naomba kujua ni application ipi ni install kwenye PC yangu ili niweze k-run application mbalimbali kama vile whatspp, telegram nk
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kutengeneza Apps/ Software

    Je wewe ni mtaalam wa kutengeneza apps/ software? Karibu tuwasiliane. 0687969981 0764255769
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii ni software gani (logo designing)

    nashindwa kuelewa hii interfere Ni ya software gani
  6. Kagoma360

    JamiiForums Tanzania Software za kufrashia simu

    Niko na simu hapa nataka kui remove screen lock mbaya zaidi button zake za volume up na down zmeharbika ningeweza kuiformat. Katika pitapita zangu huko YouTube nikaona wahindi wanatumia MTK CLIENT TOOL na MTK UNIVERSAL TOOL kwa mwenye hizo software wakuu naomba ili niweze kutatua changamoto hii
  7. Kibirizi

    JamiiForums Tanzania DATA RECOVERY SOFTWARE FROM FORMATTED PARTITION OF HDD/SSD

    Habari Wakuu Naomba mwenye software ya kurudisha data ambazo zilikuwa kwenye partition ya HDD lakini kwa bahati mbaya ikawa formatted
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 How software technology should be leveraged in order to facilitate financial inclusion amongst small-scale farmers

    NAME: PATRICK CHRISTOPHER SAROTA AGE: 23 NATIONALITY: TANZANIA EDUCATION LEVEL: BSc. INTERNATIONAL ECONOMICS AND TRADE CITY: DAR ES SALAAM, TANZANIA MOBILE NUMBER: 0685678650 EMAIL: PATRICK.SAROTA@GMAIL.COM HOW SOFTWARE TECHNOLOGY SHOULD BE LEVERAGED IN ORDER TO FACILITATE FINANCIAL INCLUSION...
  9. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  10. nordenconrad

    JamiiForums Tanzania Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design

    Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design
  11. josephat4312

    JamiiForums Tanzania Software Engineers & IT

    Je ww ni software Engineer ( Developer ) / IT lakin una kaz na wala ujapata ajiri . Ni text dm tuyajenge . I need: 1. Web developer ( full stack developer with good design skills ) 2 . App Developer ( React , Flutter and Java) 3. PHP ( frameworks Any ) 4. Graphic Designer And Video Editor (...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji construction software

    Naitaji any construction software ambayo inaweza kufanya bill of quantities
  13. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

    Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini). 2:APP ya...
  14. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Misaada: jinsi ya ku update software ya simu (redmi note ten)

    Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
  15. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Professional course In Statistical Analysis Software

    Wakuu ninatamani kuongeza ujuzi kwenye eneo la statistical software za kufanyia data analysis. Natamani kupata professional short-course Ili kujinoa zaidi kwenye Excel, SPSS, AMOS (Advanced Level) na pia natamani kujifunza R na Python n.k kwa ajili ya shughuli zangu za kitafiti. Wapi naweza...
  16. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ningependa kuwa Software developer vipi nikisoma ICT?

    Wakuu mimi ni moja ya watu ninaopenda kuwa Software developing ninampango wa kusoma ICT je nitaweza kutimiza ndoto zangu? Nakama mtu anaconnection ya chuo cha hapa Dar itakuwa poa
  17. P

    JamiiForums Tanzania Software hizi zinahitajika tafadhali

    Nina MACBOOK PRO Nahitaji kuiwekea 1. HIGH SIERRA 2. FINAL CUT PRO X 3. LOGIC PRO X 4. REASON 5. GARAGE B 6. EXCELL-WORD-PWPOINT 7. PREMIER PRO 8. PHOTOSHOP 9. ILLUSTRATOR 10. DREAMWEAVE 11. IN DESIGN 12. SOFTWARE NZURI YA KU RIP DVDs / CDs 13. SOFTWARE NZURI YA KUHAMISHA DATA...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Biashara ya Software na Programming

    Habari za wakati huu, Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
  19. Mbwilimbwili

    JamiiForums Tanzania Software Developer, looking for a job

    Kama title inavyojieleza, nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka mitatu (work experience), kwa sasa natafuta kazi party time au contract Skills PHP (Laravel, Wordpress theme &plugin development, OOP) Javascript ( Vue.js, React.js, Jquery) Docker, Git, Jira, Bash scripting, comfortable with...
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wakubwa naombeni msaada wa software

    1.Windows 2.Tally 3.Excel
Back
Top Bottom