siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  2. D

    Kila anapoteuliwa mkurugenzi mpya wa Tanesco huwa lazima mtandao wa kununua luku upate changamoto ya kiufundi je iko siri gani?

    Yaani hili jambo limeanza tangu muda sana! Punde tu kukitangazwa mabadiliko ya mkurugenzi mpya wa Tanesco huwa piga uwa karagaza kutokee hitilafu ya kiufundi kwenye manunuzi ya luku. Je hili hutokea bahati mbaya? Au kuna watu hurejesha mifumo ya kamisheni sawa kwa ajili ya maelekezo mapya...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  4. sanalii

    Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

    Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani. wakristo...
  5. fact only

    Tupunguze Siri Wakuu

    Habari wana JF. Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia...
  6. B

    FEMININE DIVINE — Siri Iliyofichwa na Milki za Dunia

    📜 Katika asili ya mwanzo, kabla ya historia kuandikwa tena na vikundi vya madaraka, mwanamke hakuwa "kiumbe mdogo" au "mfano wa pili." Mwanamke alikuwa Mlango wa Nuru. Katika mafundisho yaliyofichwa au kuondolewa kwa umma(ambayo bado yamefungwa kwenye sehemu za Vatican), kuna maandiko...
  7. S

    Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  8. Pascal Mayalla

    Siri za Muungano!. Muungano Ulikuwa Siri Kubwa!, Kumbe Uliridhiwa na Pande Zote ZnZ na Tanganyika!. Ile 26/04/64 Hakukufanyika Chochote Hadi 1965!.

    Wanabodi Nafuatilia matangazo mubashara ya TBC kuhusu maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wetu adhimu na adimu. Naibu Kipoa, bu Mkuu wa OMR Muungano na Mazingira, Hassan Mitawi, ametoa baadhi ya siri za Muungano, ambazo wengi wetu hatukuwahi kuzijua ndio nimezijua leo. Mitawi aliyaeleza hayo...
  9. Lighton

    Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini

    Heri ya sikuu ya pasaka. Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini, kuishi Kwa kuamini kwamba kesho itakuwa Bora, kupiga moyo konde na kuendelea kupambana Kwa matumaini ya kuipambania Tena kesho. Akija mtu kukwambiya kwamba, hakuna uhakika wa kuiona kesho, huyo mtu...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tuambiane ukweli Je Kuna siri gani kwenye kuimba/Mziki?

    Nina amini kuna siri kubwa sana kwenye kuimba haijarishi unaimba katika lengo gani. Tukianza na kwenye tamaduni zetu za kijadi karibia kila kusanyiko nyimbo huhusika yaani burudani. Angalia kwenye Dini iwe ukristo au uislamu nyimbo zinahusika pakubwa sana kwenye uislamu utakuna na kaswida...
  11. DR Mambo Jambo

    Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    Instagram inaweka mfumo wa kuficha post za watu kwa kutumia Neno la Siri

    💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram?? 🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri. 💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
  13. Mshana Jr

    Maisha ya Siri ya Viwavi

    Viwavi ni hatua ya mabuu ya vipepeo na nondo, wanaochagiza fungu muhimu katika mzunguko wa maisha wa wadudu unaoitwa metamorphosis. Viumbe hawa wadogo wanaweza kuonekana wa kawaida lakini ni mabwana wa mabadiliko ya asili. Tangu wanapoangua kutoka kwenye mayai, viwavi huanza kula—bila kukoma...
  14. Melki Wamatukio

    Sio siri wanawake wanaongea sana

    Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
  15. KING MIDAS

    Wewe ni siri

    Tunza siri zako mwamba! ___________________ 1. Siri ni maisha wewe! Huna siri, huna maisha! 2. Ukiweza kujificha adui asikuone lakini wewe ukawa unamuona jua ushindi ni wako hata kama unasilaha dhaifu. 3. Kujificha ni moja ya kanuni za ushindi! Kitu kinachofichwa huitwa siri. Wengi...
  16. Imani rubaba

    Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  17. ERTUGRUL BEY

    Siri ya Kuwa na Amani na Furaha ni Kujifunza Kutojali Baadhi ya Mambo

    Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji kutopenda kufanya nae kazi Alikataliwa kwenye vitabu,majarida,machapisho na hata kwa washairi,matokeo...
  18. JanguKamaJangu

    Alejandro Garnacho aiweka nyumba yake ya Manchester sokoni kwa siri

    Winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho yupo kwenye mpango wa kuiuza nyumba yake iliyopo Jijini Manchester uamuzi ambao umeanza kutafsiriwa na mashabiki wa timu yake kuwa inawezekana ni sehemu ya mpango wa kujiandaa kuondoka. Raia huyo wa Argentina aliinunua nyumba hiyo kwa Pauni Milioni...
  19. LIKUD

    Kuonyesha Kutokuwa na uhitaji " Never wanting anything " ndio siri ya kuwa na nguvu kwenye maisha ya hapa duniani.

    Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa. " Kuonyedha...
  20. Mende mdudu

    Secret of money.( Siri ya pesa)

    Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini. 1- Saving (Kuhifadhi) Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue nyingne. Maskini akipata anatumiq tu anajua kesho akiingia town atapata tena. 2-Fear of being...
Back
Top Bottom