siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    Zingatia suala la ulinzi wa mali zako unapojenga hivi ni baadhi ya siri za ulinzi kama unajenga

    Ujenzi wa sasa hauishii tu kwenye muundo wa nyumba bali unapaswa kuzingatia ulinzi na usalama wa mali zako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha nyumba yako iko salama: 🔹 Mambo Muhimu ya Ulinzi na Usalama ✅ Ufungaji wa Milango na Madirisha Imara Tumia milango ya chuma au yenye...
  2. Fbn

    Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  3. Criss

    Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
  4. Roving Journalist

    Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  5. The redemeer

    Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    📣📣📣📣📣📣📣📣 Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi 🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu huu ni mpana sana, basi bila kupoteza wakati twende sawa. 👉Nywele na kucha zinaaminika kuwa na nguvu...
  6. M

    Tafadhali, Gwajima asijibiwe, kufanya hivyo, ni kumpa ruksa ya kusema hata ya siri zaidi, mtapoteana

    Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha, Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia...
  7. erasto Samwel

    Kupambana na Mvujishaji wa siri za ufisadi badala ya kupambana na huo ufisadi.

    Nimebaki najiuliza Madudu ya ufisadi yanapowekwa wazi na wazalendo wanachukiwa ati ni watumishi ambao hawana maadili. Hata kupelekea kuachishwa kazi kwamba wamevujisha siri.na mafisadi hayo yanatetewa kwa nguvu zote na kupandishwa vyeo. Kwa hiyo ukiwa mzalendo ni uadui wako Mwenyewe
  8. chiembe

    Unaweza kuwaza nini kimeshawapata waliovujisha siri CRDB na kule kwingine

    File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma. Basi, yaliyokuta yamewastahili
  9. W

    Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

    Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine. Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix. Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k...
  10. DR Mambo Jambo

    Kuna Mkakati wa Kijasusi wa CHADEMA mkakati wa siri Uliowekwa kati ya CHADEMA na CHAUMMA na CCM Inafanya Makosa Kutokujua Hilo, Japo Wanaambiwa..

    Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
  11. Mr Beach Boy

    Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  12. ELI COHEN

    Ipi siri ya wewe kudumu muda mrefu na huyo mwenza wako?

    Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
  13. Mr Beach Boy

    Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  14. kalooo 25594

    Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  15. Fbn

    Mgeni Asiyejulikana: Siri ya Taured na Ulimwengu Usiofahamika

    Mwaka 1954, katika uwanja wa ndege wa Haneda, mjini Tokyo, Japan, mwanaume mmoja alifika kutoka Ulaya kwa ndege ya kimataifa. Alipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa pasipoti, maafisa wa uhamiaji walistajabu walipoona pasipoti yake, ambayo ilionyesha kuwa anatoka katika nchi iitwayo "Taured" –...
  16. Fbn

    Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  17. Determinantor

    Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  18. Sonko Bibo

    Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

    Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa, Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion. Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
  19. Waufukweni

    Haya yanayosadikika kuhusu Kaburi la Siri la kijiji cha Lubasazi la Bibi Ajuza ni ya kweli?

    Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza kusema yule Mzee hakufariki kifo cha kawaida, kuna mkono wa watu. Baada ya mazishi maisha yaliendelea...
  20. The Mafia

    Mna siri sana huko nje

Back
Top Bottom