siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaonywa kutotumia limau katika sehemu zao za siri

    Sehemu ya siri ya wanawake ni kiungo hatari sana ambacho kinahitaji kupewa uangalizi maalum Ni sehemu inayohitajika kusafishwa kwa umakini kwasababu magonjwa husambaa kwa haraka na kwa njia rahisi. Wazazi na mababu zetu walikuwa wakisema vitu kama ndimu zinastahili kutumiwa kusafisha uke ili...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi nifuate niweze kupewa namba ya siri ya huduma za kifedha kwenye simu iliyokuwa inamilikiwa na marehemu?

    Habari waungwana. Nimeteuliwa kufuatilia mirathi ya ndugu yetu aliyetutoka kwa ajali. Nimeshathibitishwa tayari mahakamani. Sasa nauliza namna naweza kupata namba ya siri ya line ya simu ya marehemu maana kuna uwezekano marehemu alikuwa anahifadhi pesa huko. Je huu uthibitisho wa mahakamani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

    Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi. Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Nini siri ya wamasai kwenye biashara ya sandals?

    Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine? Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao...
  7. JamiiForums Tanzania Rukwa: Raia wanauza vitambulisho vya kupiga kura kwa siri

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, Jacob Mtalitinya amewaonya wananchi wanaouza kadi zao za mpigakura kwa siri. Amesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na watakaobainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mtalitinya ambaye pia ni Mkurugenzi Manispaa ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kura za Watanzania zama hii zazidi kutokuwa siri

    Tofauti na vipindi vya Uchaguzi wa vyama vingi nilio ushuhudia, 1995 Hadi 2015, Uchaguzi wa mwaka huu wananchi wengi zaidi wako radhi kusema hadharani ama kukuambia Kura yake atampa Nani. Kwa Chaguzi zilizopita ilikua ni kwa wale wakereketwa wa vyama husika tu ndio walikua wakitoa misimamo yao...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Emmaus Mwamakula: OCD Bukoba na RPC Kagera, Tundu Lissu yuko salama kwa kiasi gani?

    Anaandika Askofu EMMAUS BANDIKILE MWAMAKULA.... TUNDU LISSU YUKO SALAMA KWA KIASI GANI? Nayaandika haya kama Askofu! Ndiyo! Askofu aliye katika Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu Lissu. Tarehe 23 Septemba 2020, Msafara wa Tundu Lissu uliwasili...
  10. JamiiForums Tanzania Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

    Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya. Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete. Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Nawamegea siri: 'Bakuli la Lissu' lijazwe michango, linasaidia kuruka kiunzi kikuu mwaka huu

    Sitaki niwachoshe kwa maneno mengi. Nawaambieni tu kwa kifupi na kwa uhakika. Bakuli la michango analolitembeza mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu si la kubezwa au kumezwa. Yaweza kuwa ni kwa kujua au kutokujua, Lissu anaruka kikwazo kikuu kilichosukwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu: ukata kwa vyama...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

    BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya Siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Na kwamba, kusuasua kwa kampeni hasa vyama vya upinzani nchini, kunatokana na ukweli kwamba, wagombea wengi wana...
  14. JamiiForums Tanzania Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  16. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Siri, Ishara na Dalili

    MAWASILIANO YA SIRI, ISHARA NA DALILI Na, Robert Heriel. Jumbe hii isomwe kwa hekima kwao hao wenye hekima, tena wenye ufahamu wazidi kupata maarifa, lakini isomwe kipumbavu kwa hao wenye upumbavu, tena wasipate maana, bali wasomapo waanguke kwenye njia panda za fikra zao. Niite Taikon wa...
  17. JamiiForums Tanzania Siri ya kutokukosa hela tena (Kutokufulia) hii hapa. Soma hutajuta...

    Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata. Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine bali ni "HESABU", yawezekana ni wengi tu tunazijua hesabu lakini hapa ni kuhusu kuzitumia...
  18. JamiiForums Tanzania Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  19. JamiiForums Tanzania Jela mwaka mmoja kwa kumkata sehemu za siri mwanaye

    Mahakama ya Wilaya Kalambo mkoa wa Rukwa imemhukumu Esther Mwanisawa (mfipa) miaka 32, mkazi wa kijiji cha katuka wilaya ya Kalambo mkoa wa Rukwa, kifungo cha nje mwaka mmoja na kazi ngumu kwa kosa la kumjeruhi mwanae mdogo wa siku tatu kwa kumkata uume wake. Mtuhumiwa alishitakiwa kwa kosa...
  20. JamiiForums Tanzania Ngoja niwape siri: Lissu anatamani akatwe jina na NEC ili apitie mlango wa nyuma kuutwaa Urais

    Habari waungwana! Ngoja niwaambie jambo ambalo linaweza kuonekana la kawaida au la kipuuzi ila ndio ukweli uliositirika. Lissu ukimsikiliza vizuri kwenye speech zake kuna jambo analiongea . Jambo hilo inaonyesha watu wenye nguvu wako nyuma yake. Na Lissu anadubiri mpenyo kuwatukia hao watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…