siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Rais wa SMZ aweka wazi mikataba iliyokuwa siri kubwa, Je Rais wa Muungano ataweza?

    03 Julai 2022 Unguja, Zanzibar. Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30. Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
  2. M

    Jinsi ya kuishi miaka100 - Wataalamu waelezea siri

    CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha, Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Kiko Tanaka, alifari akiwa na na umri wa miaka 27 Juni 2022 Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu kisichowezekana. Lakini sasa mambo yamebadilika. Je uzee kucheleweshwa au hata kuzuiwa? Je wale wenye...
  3. Naomba mnijuze juu ya terminology zifuatazo katika ulimwengu wa siri kijasusi,kisiasa na kiimani

    Wakuu nimekutana sana hayo maneno katika usomaji wangu wa nyuzi mbalimbali za kijasusi hapa Kwenye kampuni yetu na nimekua nahangaika ku crack hizi code leo nikasema nisife na tai shingoni najua kuuliza ni ujinga acha leo nitoke kwenye huu ujinga japo naweza kupata nuru kwenu wana jamvi...
  4. Siri ya kupendelea kula pili pili kwa wingi

    Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula. Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo. Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula yaan kilikuwa kimeshamili pili pili kupita maelezo adi nilishidwa kula . Lakin familila nzima adi...
  5. Mradi wa siri kuhuisha silaha za nuclear za Ukraine unakaribia kuanza majaribio

    Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned. Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700. Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa...
  6. SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  7. H

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume...
  8. M

    Vijana wengi wa DSM walishaharibi niwa kingono. Utakuta mtu anafamilia lakini anayo siri moyoni. Hii ni sababu ya kuendekeza tabia, mila na uovu.

    Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu. 👇
  9. Mwenye penzi la siri kumbe alikuwa na mchumba wake?

    Wajuba wasalaam!!! hakika mapenzi yamejaa maajabu (japo si mageni kwa wengine) sijui labda niliwahi kuoa kabala ya kuwafahamu hawa viumbe?? (expirence) kuna kipindi kama cha mwezi au miezi miwili nili share habari za kua nimepata binti anahitaji penzi la siri Sasa ukweli ni kwamba hisia...
  10. Hii ndiyo mbinu wanayotumia wakinga kuchana msamba badala ya kupiga hatua, umoja ndio siri, ni mbinu rahisi mno

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  11. Nikupe siri kidogo ya Kudumisha Maisha ya AC ya gari yako na Maisha yako Binafsi

    Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants]. . Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
  12. K

    Je, wachawi wanao uwezo wa kusoma document zetu za siri?

    kwa wale wajuzi wa hii teknolojia ya uchawi je wachawi wanao uwezo wa kupekua documents zetu tunazokuwa tumezihifadhi mfano labda kuna namba za siri za ATM au m-pesa pindi wanapopata access ya kuingia vyumbani kwetu halafu kingine je wanao uwezo wa kusikia lugha za kishule hata kama hawana shule
  13. Wanawake wana siri nyingi sana

    Alhamdulillaah ALLAAH ALIPOTUAMBIA "... هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمۡ وَأَنتُمۡ لِبَاسٌ لَّهُنَّۗ... " "Wake zenu ni vazi lenu na ninyi ni vazi leo" Katika elimu ya TAFSIRI YA QURAN... Yanapotajwa mambo mawili yenye kufanana kwa pamoja... Lile lilitojwa mwanzo zaidi linakuwa lina NGUVU ZAIDI(lina ubora...
  14. Siri ya kuufanya uume ukue kwa size bila kipimo

    Nimegundua watu wengi wanapata tatizo la uume kutokukua na kurefuka kwa sababu mbalimbali kuanzia vyakula wanavyokula hadi life styles kwa ujumla ila leo ntakwambia njia moja ambayo itafanya uume wako uwe huru kukua na kurefuka na wenye afya na nguvu Njia iyo ni kama umekuwa unavaa boxer kila...
  15. Siri ya kupenda kukaa kaunta sisi wanywaji

    Leo nipo kaunta wadada wanaangalia unakunywa nini. Wenzangu mnaokaa kaunta mnapendea matako au Siri ni nini??
  16. T

    Dereva wa Bolt, Uber au Tax ni siri gani alishawahi kukwambia abiria hutakuja kusahau

    Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama miwili nyuma, alimbeba dada mmoja kutoka club, alikua kalewa ila kwa nje alionekana mtaratibu sana...
  17. Wanawake watano wauawa, wanyofolewa sehemu za siri

    Wanawake watano Wilayani hapa wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao wakikutwa sehemu zao za siri zimenyofolewa. Mauaji hayo yamefanyika katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, hatua ambayo imesababisha wananchi kuingiwa na hofu juu ya usalama wao. Akizungumza na...
  18. Zijue siri za kuitawala Pesa

    Usiiruhusu pesa kuwa muamuzi wa maisha yako bali wewe ndio uwe muamuzi wa maisha yako, usiruhusu pesa ikuamulie nini cha kufanya. Watu wengi pesa ndio inayo waamulia nini cha kufanya na ndio maana wanaishia kuwa maskini, wale wanaoongozwa na pesa ndio wale ambao unakuta mtu akishapata pesa...
  19. Siri 11 usizozijua za Maisha katika kufanikiwa kwako

    SIRI KUMI NA MOJA (11) USIZOZIJUA ZA MAISHA NA MARAFIKI ZAKO, KATIKA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO. 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali...
  20. Siri ya dawa ya saratani/ kansa (cancer) na vyakula kwenye tiba

    CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI MATOKEO DALILI Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kupoteza nywele, wasiwasi ,kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda mdomoni, yeast infection, unyogovu. SABABU Zilizotajwa hapo juu ni baadhi ya dalili za matibabu ya saratani ya sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…