Siri ya kupendelea kula pili pili kwa wingi

Satisfy

Member
Jun 25, 2022
53
77
Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula.
Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo.
Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula yaan kilikuwa kimeshamili pili pili kupita maelezo adi nilishidwa kula .
Lakin familila nzima adi watoto wana kula bila shida yoyote.
Naomba mwenye kujua faida ya pili pili atupe faida pia na sisi.
 
Dah.....Ina faida nyingi Sana....Kwanza inaua sumu kwenye chakula..... inasaidia kuweka mzunguko wa damu ulio imara....inatibu mafua na kikohozi....inazuia saratani....inapunguza maumivu ya viungo.....inasaidia kuchangamsha sharubati ya lehamu ambayo ni muhimu kwa umeng'enyaji wa chakula...pia inaondoa udomo zege...hizi ni baadhi tu🤭
 
Asante mkuu
 
Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula.
Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo.
Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula yaan kilikuwa kimeshamili pili pili kupita maelezo adi nilishidwa kula .
Lakin familila nzima adi watoto wana kula bila shida yoyote.
Naomba mwenye kujua faida ya pili pili atupe faida pia na sisi.
Usinikumbushe siku moja tumeenda kwenye shughuli ya kuposa mtoto wa Kitanga, ndugu yangu mmoja Mlevi (RIP) amezoea pilipili mbuzi za kukata sasa akakutana na pilipili imepikwa uzuri akavuta bakuli la pilipili akafanya ndo mboga aisee alikuwa natokwa na machozi na kamasi kama mbuzi.... Ilikuwa aibu kichizi sema tu uzuri hatukunyimwa Mke!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom