Siri ya kuufanya uume ukue kwa size bila kipimo

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
1,344
2,948
Nimegundua watu wengi wanapata tatizo la uume kutokukua na kurefuka kwa sababu mbalimbali kuanzia vyakula wanavyokula hadi life styles kwa ujumla ila leo ntakwambia njia moja ambayo itafanya uume wako uwe huru kukua na kurefuka na wenye afya na nguvu

Njia iyo ni kama umekuwa unavaa boxer kila wakati siku nzima hadi wakati unapolala achana na iyo issue kwanza wazungu sijui walifikiria nini kuja na boxer mi navyohisi walikuja na ubunifu huu kwa ajili ya kundi fulani kuzivaa na sio kwa kila mtu ila sisi tukazivamia na kuanza kuzivaa

Hasara moja wapo ya kuvaa boxer ni kuubana uume na kushindwa kupata hewa na kushindwa kuwa huru na pia unapotaka kusimama uzuiwa na boxer , tumia akili ya kawaida uume ni kama mmea unaochipua wakati wa germination halafu uwe unakutana na vipingamizi kama hakuna hewa , maji na unazuiwa na vitu kurefuka na kuchipua sa mwisho wa siku si utadumaa au kushindwa kuchipua kabisa sasa ni kama uume tu tunavyoufanya😀😀we muda wote mtoto wako unambana na maboxer unafikiri atakosa kuwa na kibamia?

Ushauri wangu kwa vijana tunatakiwa kuvaa bukta sana kila wakati aswa kipindi unapolala au ata kutwa nzima na kuachana na boxer na tuwe huru kudindisha na sio kuvaa boxer ili ikusaidie kuzuia uume kusimama hapo ni unajitafutia matatizo .

Kingine cha kukushauri kama kijana ili uwe na uume mkubwa na mrefu na wenye nguvu ni kula vyakula vyenye virutubisho mbalimbali kama mboga za majani, mlenda, bamia, msusa( mboga za maboga zenye karanga, ) kula karanga , ugali, wali yaani usile chakula cha aina moja daily ata kama ndo umezoea ila kula vyakula vya asilo izo ndo dawa na utasahau na kulisikia tatizo la nguvu za kiume redioni tu

Kwa leo ndo ayo tu ndugu zangu
images.jpeg
 
Kwa leo ndo ayo tu ndugu zanguView attachment 2244452
Kama umeishabalehe na una uume below 5 inches ukiwa umesimama basi mshukuru Mungu tu hakuna kitu cha kifanya tena hapo labda njia ambazo ni very risky mfano surgery .

Tunachoshindwa kujua wengi ni kuwa ukuaji wa uume unachangiwa vikubwa na sababu kuu mbili hizi

1.Vinasaba.
2.kiwango cha hormone ya ukuaji pindi ulipokuwa ndani ya tumbo la mama yako mzazi .

Vyakula, mboga , na matunda sijui mitishamba ,mavazi na mazoezi mengine hizi ni kwa kiwango kidogo sana yaani sanaaa na hata kwa watu wengine havifanyi kazi .

Hivyo ni kumshukuru Mungu na kumuomba akupe wa kufanana na wewe full stop no other way .

Hii nimeiandika mara ya 3 sijui hapa ila bado watu mnafarijiani .
 
Back
Top Bottom