siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Siri ya popobawa Miaka ya 90 na Ushoga miaka yetu hii

    Mpaka leo files zake zimekuwa classified. Hawataki kusema ukweli hasa nini kilitokea na ikawaje wakayafungulia yale majini yakaanza kuwa yana waingilia wanaume kinyume na maumbile. Al maarufu Popo Bawa. Ulikuwa ni Uganga ilio fail sehemu. Yaliletwa toka huko Arabuni kwa minajiri flani...
  2. Mahakama yasogeza mbele kesi ya aliyekutwa na sehemu za siri za kike

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo. Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
  3. L

    Nampongeza Rais Samia na Serikali yake Kudhibiti uvujaji wa siri na Nyaraka za Serikali

    Ndugu zangu watanzania, Kuna kipindi kulikuwa Kuna washangaza wazalendo wengi Sana juu ya Uvujaji na usambaaji wa Siri na Nyaraka za Siri za serikali, watu walikuwa wanaona fahari kuvujisha Siri za serikali na Nyaraka za serikali, ilikuwa Ni kawaida kukuta na kuona mitandaoni habari nyeti za...
  4. Chongolo, Anza mkakati wa scouting, andaa mkakati maalum wa Siri wa kutafuta vijana wenye vipaji vya Siasa,wapate mafunzo maalum ya chama

    Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
  5. R

    Taifa la kidemokrasia linapaswa kuepuka kwa nguvu zote desturi na mila ya mauaji ya siri; hakuna maendeleo yakudumu kwenye damu inayolia

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini wauaji wengi ukamatwa kirahisi baada Tu yakufanya mauaji ila waalifu wengine uchukua muda? Nimetafakari ni kwanini watu wengi wanaweza kukaa kimya pale wanaposikia ndugu Yao kauwawa lakini NI vigumu kusamehe likaisha? Nimejiuliza kwanini MTU maarufu akiuwawa...
  6. Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  7. Mnaosema Magufuli alikopa kwa siri njooni hapa tusemezane

    Familia ya Watu Wazuri Hawafi mmekuwa mkizusha sana humu JF kwamba Serikali ya Magufuli ilikuwa inakopa kwa siri bila kuwaambia ukweli wananchi kuwa inakopa. Miaka yote ya Magufuli pamoja na usimamizi wa rasilimali na usimamizi wa kulipa kodi na kubana matumzi ya Serikali alikuwa muwazi na...
  8. S

    Mazungumzo ya maridhiano duniani kote ni siri. Kuna mtu anafahamu kinachoongelewa kwenye maridhiano ya Eritrea na Ethiopia?

    Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano? Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani. Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
  9. Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

    Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
  10. Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  11. Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

    Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa. Sina mengi, twendeni.
  12. Siri katika uuzwaji wa data za whatsapp, Twitter na mitandao mingine

    Habari zenu, Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini? Data gani? Wanauza wapi? Wanaowauzia wanazitumia vipi? Nakumbuka niliwahi angalia muvi fulani ya kizungu ilikuwa inahusisha kudukua account za watu sasa pia...
  13. Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema; ..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
  14. T

    Dunia ya ujasusi: Je, safari ya Zelenskiy Marekani ina siri gani?

    Igweeeeeee kumekucha kumekucha... Ulimwengu wa kijasusi unazidi kushika kasi kama mithili ya radi. Safari ya Rais wa Ukraine ni safari ya kijasusi pia ni safari yenye ujumbe mzito kwa Putin na Washirika wake kuwa Marekani wako tayari kwa vita mpaka tone la mwisho wa dam wakati Putin hatokuwepo...
  15. Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  16. B

    Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Research hawatoi Tena!

    Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle" Mfano; Agric tutor-crop science Unatakiwa usome contents zote za crop science utafaulu mitihani! Msidanganyane na "research siku hizi...
  17. Siri za zavuja stakabadhi zinazoonyesha Urusi ilipanga kuiteka Ukraine kwa siku 10

    Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi. A British defence and security think tank has revealed details of Moscow's pre-invasion plan for Ukraine...
  18. Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  19. Badala ya kujali kuporomoka kwa maadili tunajali kuvujishwa siri za watu wa ovyo

    Nashangaa sana kiongozi anaposema siri zisivujishwe. Kama kiongozi hataki siri zake zisemwe wapo henchmen wake watahakikisha kwamba siri zake hazisemwi. Lakini haifai kiongozi kwa matatizo yake binafsi, kwa matatizo ya udhaifu wake wa maadili, ashawishike kutunga amri ya jumla, ya kuihusisha...
  20. Tamthilia ya Siri ya mtungi (wahapahapa) ndio filamu bora kuwahi tokea Tz

    Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi. Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…