Siri za zavuja stakabadhi zinazoonyesha Urusi ilipanga kuiteka Ukraine kwa siku 10

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,410
Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi.

A British defence and security think tank has revealed details of Moscow's pre-invasion plan for Ukraine, based on captured Russian documents apparently signed off by Vladimir Putin.

Russia had planned to take over Ukraine over 10 days and annex it by August this year, the Royal United Services Institute for Defence and Security Studies (RUSI) said.

According to the British Army-linked think tank, only a small group of Russian officials were aware of the full scale of the plans.

It said even deputy heads of branches within the Russian military were unaware of the plan to invade and occupy Ukraine until days before the invasion began, and tactical military units didn't receive orders until hours before.

Duh
Kilichompata superpower ni aibu tupu.Putin ni jasusi mbobezi sijui alikwama wapi kujua intelijensia ya hii vita.Manake ameshangazwa haswa kwa kipigo cha mbwakoko

Kilichotokea kipindi kile cha makubaliano ya minsk putin angeivamia kipindi kile angeigeka sasa baada ya yale makubaliano ukraine chini ya ulaya wakajenga jeshi kwa nguvu zote tena kwa siri, huku mafunzo yakotolewa marekani, ujermani na uingereza, sasa baadae bila putin kujua nguvu za kijeshi za ukraine zimeimarishwa kaingia kichwa kichwa ndio hayo yaliyotokea
 
Mpaka wewe uligundua ila RUSSIA hakugundua
 
638a39012030273fe239c75d.jpg

Endelea kujifariji
 
Hizi habari uchwara zimekuwa nyingi sana!
Nimefungua nione hiyo document ila haipo,ni blah blah tu!
So sio siku 3 Tena Bali siku 10😃!
 
Kilichotokea kipindi kile cha makubaliano ya minsk putin angeivamia kipindi kile angeigeka sasa baada ya yale makubaliano ukraine chini ya ulaya wakajenga jeshi kwa nguvu zote tena kwa siri, huku mafunzo yakotolewa marekani, ujermani na uingereza, sasa baadae bila putin kujua nguvu za kijeshi za ukraine zimeimarishwa kaingia kichwa kichwa ndio hayo yaliyotokea

alidhani anaingia georgia
 
Back
Top Bottom