siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha kwenye nywele na kwanini unyoaji wa nywele uonekane kama ustaarabu na utanashati

    Nywele si mapambo tu ya kichwa Katika mitazamo ya kale ya Kiafrika bali ni kiungo cha kiroho, cha mawasiliano, na chemichemi ya nguvu ya mtu. Katika jamii nyingi za Kiafrika, nywele zilizingatiwa kama daraja kati ya ulimwengu wa mwili na ule wa kiroho. Hapo ndipo palipojificha siri kuu—kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  3. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  4. JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hawaniambii wamefika vipi, wanasisitiza nisikate tamaa

    Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,” lakini ukimuuliza amepitia nini mpaka akafika hapo, si rahisi kukueleza kila kitu. Kuna mambo aliyapitia...
  5. JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!, #Goodluck. #Sunday gift
  6. JamiiForums Tanzania Penzi ni pepo ya siri, hapewi mtu mbinguni

    Alikuwa akiamini kuwa mapenzi ya dhati ni kama pepo ndogo ya siri tunayoijenga hapa duniani, zawadi adhimu tunayopeana faragha na ambayo haitapatikana mbinguni. Alimwamini mpenzi wake na kumkabidhi funguo zote za roho yake, akiamini kabisa kuwa kifua chake ndicho kilikuwa bandari salama ya...
  7. JamiiForums Tanzania Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Siri za Chumbani

    Wana JF, salamu! Tunafurahi kujiunga rasmi na familia ya JamiiForums. Sisi ni Siri za Chumbani, jukwaa la anonymous confessions linalowapa watu nafasi ya kushiriki siri, changamoto, maumivu na mambo mazito yanayowasumbua moyoni bila kufichua utambulisho wao. Kila siku tunapokea simulizi...
  9. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ulimwengu wa Roho: Siri 7 za Kichawi na Kiroho Kuhusu Paka

    Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi: Macho yao huona...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Hashim Rungwe: avujisha siri wamelipwa kushiriki kikao na samia ni ya Julai 30, 2026?

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, likidai kuwa Hashim Rungwe amefichua siri kwamba viongozi wa vyama vya siasa walilipwa fedha ili kushiriki kikao kilichoitishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan. Chapisho hilo...
  11. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kalonzo Musyoka amefanya kikao cha siri leo na Rais William Ruto mjini Narok

    Inadaiwa kuwa Kalonzo Musyoka amefanya kikao cha siri leo na Rais William Ruto mjini Narok, ambapo walifikia makubaliano ya kushirikiana kabla ya uchaguzi. Haya yanajiri huku kukiwa na uvumi kwamba upinzani unampendelea Edwin Sifuna kuwa mgombea wao wa urais, akisaidiwa na mgombea mwenza kutoka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Libala: Siri na Uzito wa Ndoa: Je, Wimbo wa 'Libala' wa Reddy Amisi na Viva La Musica Bado Unafundisha Vijana wa Sasa?

    Wimbo wa "Libala" ulirekodiwa na bendi maarufu ya Viva La Musica ikiongozwa na nguli wa muziki Papa Wemba. Msanii Reddy Amisi alikuwa mmoja wa waimbaji wakuu na nguzo muhimu katika bendi hiyo kabla ya kuanza kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea...
  13. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  14. JamiiForums Tanzania Siri ya Chupa ya golikipa wa Uingereza yafichuka, ilikuwa na mbinu za kuzuia penalti za wachezaji wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 . Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
  15. JamiiForums Tanzania Hakikisha unabakisha pesa,Hii siri mtanishukuru.

    Kuna mambo mengine unaweza kulalamika ngekewa ya pesa inakupita kumbe umesahau hii mbinu. Pesa ni kama mvuto na sumaku ya kuvuta bahati na pesa nyengine. Unapoweka pesa mfukoni hakikisha usiitumie hata kama aina matumizi we bakisha hiyo pesa ndio nguvu ya kulinda na kuvutia. Wahindi wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini friji yako inakula umeme kuliko pasi? Siri ya inverter unayopaswa kujiua.

    Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu: 👇 Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku. Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kulifanya Jokofu (fridge)Lako Lidumu Miaka 10+

    JINSI YA KULIFANYA JOKOFU (FRIDGE) LAKO LIDUMU MIAKA 10+ Watu wengi hununua friji na kuliacha tu jikoni hadi pale linapoacha kupoza. Ukweli ni kwamba, friji ni kama gari; lisipopata "service" ndogo ndogo, litakula umeme mwingi na kufa kabla ya muda wake. Hapa kuna siri 5 za kitaalamu za...
  19. JamiiForums Tanzania Siri ya soda ya coca cola na funzo kwa maisha

    Hivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi: Viungo vyote vya siri vinachanganywa na kupikwa Marekani pekee ili kutengeneza kioevu kizito...
  20. JamiiForums Tanzania Siri za Miujiza Feki: Jinsi Manabii na wachungaji Wanavyowatapeli waumini wao.

    Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza (Occultism)? Je, unajua kuwa sekta hii imekuwa biashara kubwa inayovuna mabilioni kwa kutumia maagano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…