sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Andika Kwa kifupi tu utaeleweka sio Kila saa unaandika mada ndefu kupita kiasi kama makala na vitabu

    Kila unapoandika hu:)wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu sio polisi, hana ushawishi hata kwenye ukoo wake anawezaje kutishia waandamanaji kama sio anachochea na kuleta vurugu na taharuki.

    Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja. Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
  3. JamiiForums Tanzania Unaamini katika dini Uislam/Ukristo budha/indu/wayahudi kuwa ukifa wewe sio dini flani hautaingia mbinguni

    Yess Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini Watanzania tunafaidika vipi na gas ya Mtwara?

    Bei ya gas hipo juu Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana watanzania tumekua makondoo kuhusu rasilimali zetu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu

    Habari zenu ndugu wangu ?
  6. JamiiForums Tanzania Yawezekana Waafrika sio watu na msinibishie🤣😂

    Ukiangalia matukio yanayotokea kwenye nchi nyingi za kiafrika yanathibitisha kuwa sisi sio watu Yawezekana sisi ndio wale sokwe waliokuwa wanakaribia kuwa binadamu lakini mchakato ukaishia njiani Kwa kawaida wanasema binadamu ujifunza kutokana na makosa aliyoyafanya lakini kwa Africa ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania CCM siyo tena chama cha siasa bali ni ni kikundi cha wahuni. Huo ndiyo ukweli

    CCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu kuwaonga mabeberu!! Hayo mambo sio siasa kabisa. HAYO MAMBO NI UHUNI Na hata watu ambao bado...
  8. JamiiForums Tanzania Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  9. JamiiForums Tanzania Adui Yangu Anaitwa Simu

    Hii sio kawaida! Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee! Youtube Insta Fb Site za wakubwa(twice) Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu) .. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being...
  10. JamiiForums Tanzania Ukoloni na uvamizi wa kiarabu Pwani ya Afrika Mashariki ulileta madhira sio tu ya kuchukuliwa ardhi na utumwa ila pia ubakaji, ulawiti na castration

    Je hii ndio imekuwa sababu ya kuu ya wanawake na wanaume wa pwani kupenda michezo ya kuingiliana kinyume na maumbile?
  11. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo na taasisi kubwa msije shangaa sio mali ya serikali wala mnawatagemea kuwa ni mihimili

    Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi. Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja. Ila tambueni mtoto kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Professor, Dr halafu sio muislam?

    Professor, Dr halafu sio muislam? Hii inanipa shida sana katika akili yangu. Why? Kusoma kote huko hajauona ukweli?
  13. JamiiForums Tanzania Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!

    Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!
  14. JamiiForums Tanzania Chuki ni Mzigo Unaoubeba Mwenyewe, Sio Adhabu Kwa Unayemchukia

    Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe. Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima huku amebeba magunia mazito mgongoni. Atafika juu kweli, lakini kwa shida sana. Ndivyo ilivyo kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hapa kama tumechekesha kweli:waziri wa vijana ila motivation sio mtendaji ila alikuwa kama msanii wa mr nguruwe,vanira na kuku.

    Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi. Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo. Kuna jamaa yule yeriko Nyerere kwa kujifanya vingwa wa vitabu na matendo ni kitu tofauti sana. Leo uwezi kumuona mtu kama mwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake mna Mapepo Kama sio Laana

    Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake Aliwahi kunitamkia kuwa yupo na Mimi ila Kuna idadi kubwa ya wanaume wanamfuata kumtongoza , hii kauri ilinifanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  19. JamiiForums Tanzania Sio binadamu wote wanajitafakari, kufikiri ni kipaji

    Ni kazi kubwa kumkomboa mtu anayefikiri kuna mchawi wa maisha yake kumbe mchawi ni yeye mwenyewe kayakoroga, mtu wa aina hii ni ngumu kuyatatua matatizo yake .
  20. B

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba Ukiachia hiyo Ajira Utakonda au utakufa njaa, ni Hofu tu

    Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi. Sio kwamba hayo Mateso ukiyaacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…