sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. VanDon

    JamiiForums Tanzania Mtandao sio salama kwa watoto.

    --- "Kushiriki picha za watoto mtandaoni kunaweza kuonekana kuwa jambo lisilo na madhara, lakini pindi picha inapowekwa hadharani, inaweza kunakiliwa, kupakuliwa, kusambazwa tena, au kutumika nje ya muktadha uliokusudiwa awali. Hata mipangilio ya faragha haiwezi kuondoa kabisa hatari hizi...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

    Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao. Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  4. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Sura sio umri

    #MICHEZO: Golikiwa wa Klabu ya Jamus FC Goodwill Yugusuk ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Sudan Kusini ya vijana wa chini ya umri wa miaka 23. Yagusuk pia amewahi kuiwakilisha Sudan Kusini katika kikosi cha chini ya miaka 20, pia timu ya Taifa ya wakubwa. Kinda huyo kwa sasa ana umri...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania What if kusamehe sio lazima

    Kuna dhana inayo fikirisha sana!!! Kuna hii dhana eti mtu akikufanyia ubaya inabidi umsamehe ili uwe huru! Je, is this right? Au ni mtego tu walotumia wanafalsafa kustaarabisha watu? Maana kuna namna pia msamehewa hufanya makusudi akiwa na lengo la kusamehewa in advance. Hebu tuangalie...
  8. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Boda boda tusaidiwe na sio kubezwa

    Muhali gani ndugu jamaa na marafiki waume kwa waume, Heshima kwa wakubwa zangu na kwa wadogo zangu me sijambo. direct kwenye mada Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza watu wote tunao tumia pikipiki kama kifaa cha kutupatia mkate wetu wa kila siku na jua kali la mji huu wa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi? mbona ofisi za private na taasisi za private namba...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia ukijinadi wewe sio muoga uhalisia wake wewe ni muoga

    Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia. Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jehovah ni BWANA WA MAJESHI na Allah sio Bwana wa Majeshi?

    Jina "Bwana wa Majeshi" linatoka katika maneno ya Kiebrania ya Biblia "Yahweh Sabaoth" (au Jehovah Sabaoth). Mungu anaitwa hivi kutokana na sababu kadhaa kuu za kiteolojia na kihistoria: Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni: Neno "majeshi" hapa linarejelea malaika na viumbe wote wa mbinguni. Mungu...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea maishani mwetu sio nyota wala roho bali ni matokeo ya michakato ya maamuzi yetu, maamuzi ya watu wengine na reaction ya nature.

    Hakuna anaendesha maisha yako Kimazinga ombwe Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa Hakuna adhabu ya kimazingaraa au muujiza kwa anaekunyanyasa Sheria zinatungwa na alie na nguvu Uimara wa akili yako ndio...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  14. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Sio rahisi kuachiwa kuachiwa kirahisi

    Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile. Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia...
  15. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ukubwa sio mwili tu kama inner child hajakuwa...(utarudia cycles)

    One thing about maisha ni kuwa haya rudi nyuma... So kama present yako leo usipo iishi utakavyokuwa utakuja kui mourn au kuijuita mbele ya safari.. Binafsi katika utoto wangu sikuruhusiwa kuwa mimi, meaning I was robbed of my childhood.. Nili ishi na ku treatiwa kikubwa.. Nilisikia maneno...
  16. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  19. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwenye mamlaka hustahili au anastahili mamlaka hayo

    Hapo VIP! Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka. Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea kitu au mtu wa ovyo Na mwenye akili au ufahamu wa chini Na wa ovyo akawa Na mamlaka Fulani.Na...
Back
Top Bottom