sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye taifa la Kikristo.

    Wanapeleka wizi wa kura kwenye taifa la Kikristo, Wanatumia mbinu za Tanzania.👇
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  3. JamiiForums Tanzania Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

  4. JamiiForums Tanzania Bullying anayofanyiwa mchazaji Ibrahim Doumbia wa Makolo sio uungwana

    Wachezaji sio marobiti, ni binadamu kama sisi..Ibrahim Doumbia Hakujileta yeye mwenyewe hapo makolo fc bali ni viongozi wenu ndio waliomfuata na kumsajili..Na kwa kua mchezaji ajira yake ni kucheza hakua na budi isipokua kutia Saini pale mahitaji yake yalipotimilizwa. Sasa yeye kosa lake ni...
  5. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
  7. JamiiForums Tanzania Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  8. JamiiForums Tanzania Utata wa "identity" wa shahidi wa Jamhuri waibuka mahakamani. Inasemekana huyu Jina lake halisi ni Peter Jumamosi na sio Amin Mahamba...

    Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP. ================= Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
  9. JamiiForums Tanzania Fei Toto sio X factor, tuache utoto

    Fei Toto alitoka Yanga ikiwa haina kombe la CAF na yuko Azam ambayo haina kombe la CAF. Yanga ilikuwa inashinda vikombe vya ligi ikiwa na Fei na inaendelea kushinda bila Fei. Aliikuta Azam ikiwa haina vikombe na Azam ikiwa na Fei haina vikombe pia. Simba na Yanga msidanganyike, Fei ni mchezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba anakupenda, Anakuhitaji kwaajili ya kutimiza nahitaji yake

    Habari wadau, Haya mahusiano Yana Siri kubwa sana 1.Wakati wewe mwanaume unafikria kuwa umempata mke wa maisha mwanamke anafurahi kupata boya la kumaliza shida zake za kwao na kumsaidia ex wake mtaji. 2 Kuna mwanaume unamwona kama vile kakuzimia anatangaza na ndoa kabisa kumbe akili zake...
  12. JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza viongozi wa Chadema wa mstari wa mbele wa kutetea haki na Demokrasia nashauri imarisheni mfumo wa uongozi hadi vijini

    Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu. Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua Uchaguzi Mkuu Kenya unapaswa kufanyika Agosti 11, 2026, hata hivyo utekelezaji wake wasitishwa

    Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji alisema kufanya uchaguzi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi. Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu. Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zari; kuchepuka kwa mwanaume asiyekuhudumia sio usaliti ni kujihami

    Mwanamama Zari Hassan (45), anayejulikana zaidi kama Zari The Boss Lady kutokea Uganda amezua mjadala mzito baada ya kudai kuwa kuchepuka kwa mpenzi wako asiyetoa msaada wa kifedha "siyo usaliti bali ni namna ya kujihami." Alizungumza hayo katika mahojiano na moja ya Podcast, alisema...
  17. JamiiForums Tanzania Binti; Sio lazima mama mkwe akupende

    BINTI; SIO LAZIMA MAMA MKWE AKUPENDE. anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nampeleka Mchumba wangu nyumbani kwa mara ya kwanza. Tukiwa Dodoma nilimwona akiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Alikuwa ni binti mdogo, ndio kwanza chuo mwaka wa pili, hukuwahi kupelekwa ukweni. Nimdodosa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania CCM Sio tena chama cha siasa, tusijidangaye kuwa itatoka madarakani kwa amani

    CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi. Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
  19. JamiiForums Tanzania kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula Cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana.

    Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Ukweli Hata Uwe Mchungu Vipi!. Tanzania Itaokolewa na Viongozi Wakweli na Wasema Ukweli, la Katiba Alilosema VP Bal. Dr. Nchimbi, ni Ukweli!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea kuusema ukweli, kwa kuhofia utawaudhi watu, hivyo Tanzania itaokolewa na viongozi wakweli, kama Dr...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…