single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

    Watu humu mambooz. Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili. Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kushindwa kutekeleza maazimio ya Eneo moja la forodha

    6 October 2022 Namanga, Kajiado Kenya KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake mlio single muda huu naomba kampani

    Wanawake wote mliosingo nawaomba mje mnipe kampani. Nawakaribisha sana, njooni na maneno matamu yaliyoshiba mahaba.
  4. JamiiForums Tanzania Kuwa single mateso

    Habarini ndugu zangu, Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida. Binafsi nina experience ya kuwa Single...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mpo single muda huu njooni tufarijiane hapa

    Masingle tusiwe wapweke Sana,njoon tufarijiane
  6. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

    Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na hujafiwa na mmeo huwezi kuwa single. Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo single tusidanganyane tuambiane ukweli wanaume walio single wapo wengi Ila wanawake walio single...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa? Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na...
  8. JamiiForums Tanzania Ili kijana wako awe mwanaume anahitajia Baba. Wavulana wanahitaji mifano ya kiume ili waepuke tabia za kike

    Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki. Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

    Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light. Nikianza na sisi wanaume. Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka single movie ya kunitoa machozi

    Yaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
  13. JamiiForums Tanzania Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

    Wakuu habari za muda. Kuna hii kitu imenichanganya sana ni hivi, Kuna single mother mmoja tunaishi sehemu moja alikuwa ananiletea shobo kibao nikaona sasa hii kero. Kanifata fata sana mpaka nikaona sasa hii itakuwa dharau na ukizingatia ni limaza flani lina mzigo wa haja nikaona ngoja nilitupie...
  14. JamiiForums Tanzania I'm single and you're welcome to change that

    Hello members?, I'm 28. I'm looking for a partner/ girlfriend. I'm looking to be in an emotionally committed relationship. I'm not looking for “the one” or marriage, but I also am not looking for a hookup or just a fling. I'm perfectly fine being by myself, I'm just ready for a partner. I'm a...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Mbinu ya kivita nawapa ukitala kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye
  16. JamiiForums Tanzania Nafatuta chumba cha kupanga (Self contained) - Mwanza

    Habari, Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka. Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
  17. JamiiForums Tanzania Single mama alivyotaka kukatisha uhai wake kwasababu yangu

    off
  18. JamiiForums Tanzania Nimekuwa single leo hii

    Nimeachwa mchana wa leo, nilimpata mpenzi hapahapa jf, so maisha yanaendelea.
  19. JamiiForums Tanzania Single Searching

    Greetings to You on JF I'm a single male aged 34 years. Tanzanian by nationality. Born and raised outside of Tanzania. Been here for 10 years now. Looking to meet a single lady willing to start a friendly relationship that could lead to a more permanent status. Preferably aged between 25-31...
  20. JamiiForums Tanzania Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Habari MMU Niaendee moja kwa moja na hoja yangu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…