Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,365
8,098
Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?

Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na hawana makao katika familia zao hasa katika hali ambapo wazazi na ndugu wanatoa maneno ya kejeli kuhusu useja wao.

Vyombo vya habari vya kawaida pia hutoa mawazo haya, kwa mfano katika maonesho kama vile sitcom maarufu, ‘Ngono na Jiji’ ambayo inawakilisha wahusika wakuu wa kike ambao wanazingatia sana ndoa.

Je, unaweza kuwa na furaha ukiwa single katika miaka ya 35 na zaidi? Hilo tuongee hapa.
 
Kwa mila za Kiafrka wanawake huolewa, na sio kuoa.

Sasa kama wanaume wa kuwaoa hawapo/hawajajitokeza; Sina sababu yoyote ya kuwalaumu wale ambao hawajaolewa ukichukulia pia kuwa; wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Kuhusu kushare experience; Kimsingi watu hujifunza kuishi kutokana na hali yao hata hivyo hakuna njia moja ambayo ni sahihi kwani hutegemea mambo mengi; ikiwepo uwezo wa kifedha, support anayopata kwenye familia, mji au eneo anapoishi, marafiki nk

Mwanamke huingia menopause kwenye 45yrs hivi, hivyo 35 bado ni umri mzuri tu wa kuolewa!
 
Hizi threads zinaleta tensio ukubwa wa tatizo ni kujua zaidi tatizo.. Naona ni fair sana hususani katika Maisha watu hwafanani kuwa wanawake wameolewa miaka ya mapema sana 19 tayar ana mtoto wengine mpaka 35 bado wako 40 wakina lady jay Dee na salama jabir yote swa tu coz fainal dunia tunapita.

Tabia hilo tatizo lipo kwa jamii za sasa kwa kiasi kikubwa kwa nn mtu alazimishe na kupewa uoga wakati jambo liko nje wa uwezo wake? Kama hakujaaliwa usiforce ubaya ya tensions kama izi kutoka kwa watu ndo zinapelekea watu kujinyonga.

Wapo wadada wamekosa watu kabisa kuwa nao kutokana na kila anayekutana nae ni ovyo iyo ni nafsi yake kikubwa anaishi tu...makazini lipo sana kamtu kameolewa au kameoa basi kanaanza kujifanya kanajua kila kitu kisa kina mtoto kuforce wengine wawe kama yeye ni swala baya sana...miaka 35 kwa demu ambaye hajachezewa sana bado yupo poa sana labda kama aliaanza kuchezewa kitambo
 
Tatizo liko kwenye kumkuta huyo ambaye hajachezewa sana Kuanzia hiyo miaka na kuendelea, Mimi siamini et kuna mwanamke kuanzia umri wa kupevuka kwakwe Mpaka huo umri wa miaka 35 na kuendelea hajawah kukutana na mwanaume serious kufanya naye maisha nadhani ni machaguo yao wengine hawataki kuolewa tu.
 
Wanawake weng kweny umri huo Kama Yuko sawa kiafya lazma atakuwa aliwah kuolewa Mara kadhaa na ikashndkana ,weng wao huwa tayar washazaa pia huwa wamekata tamaa na ndoa.
In short wanawake katka Rika hili huwa hawana stress maana Mambo meng washayapitia.
ili kuondoa wimbi hili wanaume tujitahid tuoe wake Zaid ya mmoja
 
Tatizo liko kwenye kumkuta huyo ambaye hajachezewa sana Kuanzia hiyo miaka na kuendelea, Mimi siamini et kuna mwanamke kuanzia umri wa kupevuka kwakwe Mpaka huo umri wa miaka 35 na kuendelea hajawah kukutana na mwanaume serious kufanya naye maisha nadhani ni machaguo yao wengine hawataki kuolewa tu.
Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chini hataki.
 
Back
Top Bottom