single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Lamzettttt

    JamiiForums Tanzania Nachoona kuhusu single Mothers

    Habari Za Muduu Wote Wana jamii forum Nimeona Kumekuwapo Mijadala Mingi humu Kuhusiana na Suala zima la (SINGLE MOTHERS) Kwa tafsiri ya Mama aliyekimbiwa na baba wa mtoto japo single mothers ina maana pana. Lakini mimi sitotaka kwenda kwenye matokeo ya single mothers nataka nichungulie...
  2. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

    Naombeni ushauri wakuu. Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii. 👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Stay single until you’ve met someone who has experienced these 9 things in life

    Being single isn’t just about waiting for someone to come along. It’s about being comfortable with yourself until you meet someone who has lived a little, learned a lot, and can genuinely enhance your life. The difference here is about depth. Waiting for someone who has experienced certain...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
  6. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

    MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake. Kisa Kiko hivi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Looking for a single woman to be ' WIFE OF MY LIFE'

    Dear Jf Crew team, I am looking for a single woman who may become my 'Soulmate ever in my lifetime'. My Merits: My education is beyond Bachelor's degree Employed by government My age range is between 35 to 40. Single woman merits needed Education, the minimum should be a Bachelor's degree...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Gheto pitia hapa mfaidi.

    Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe. Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha. Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo...
  10. Amaru

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye mahusiano na Single Mother anaejitambua hata kama hutamuoa yeye hakika utapenda uoe uwe na mke

    Salamu jamii, Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu. Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini. Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata bahati ya kuwa na mahusiano na Single Mother anaejitambua hakika hata kama hutomuoa yeye basi iwe...
  12. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Single door Refrigerator Hisense inauzwa

    Nauza friji ndogo single door hisense fridge ni mpya kabisa sijaitumia hata siku 1, bei 200,000 fridge ipo tabora nzega, mwenye uhitaji anicheki.
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

    Wakuu tujuzane hapa , naona Kama nishapitiliza, au niendelee tu kuwa single.
  14. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Single Ladies

    Natumaini mko poa Kiukweli wakat nakua kua nilikuwa nawaona watu wako pamoja nikawa nahis mambo ni rahis sana huko ndoani Kiukweli hali ni mbaya sana na ndoa nyingi za umri wetu zinapumulia mashine zingine zikiwa hazina hata mwaka hali inaogopesha sana Tuwe makini makini sana wakat tunafanya...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti yangu, ni Akheri uwe Single mother kuliko uishi na Mwanaume mpumbavu

    BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Baba na Mume. Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke mpumbavu, hata angekuwa Mama yenu, vivyohivyo nilimuambia Mama yenu kuwa kamwe asijevumilia kuishi na Mimi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

    Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed! Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini! Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana! Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single! Hata...
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya mtu akiwa single

    Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa. Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔 👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??, 👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama...
  18. Clepatina

    JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  19. Barieda

    JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Wakuu kwema, Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto). Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri zaidi

    Ukiwa huna Pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri kama kijana amabaye ana Malengo na yupo hatua. za Mwanzo za kujitafta Kwani ukitaka kupima Kama unakopesheka au haukopesheki kopa kipindi ukiwa na Pesa.
Back
Top Bottom