Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Habari Wana JF naombeni msaada wa yeyote anayefahamu huyo mzee Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni Magharibi Mkoa Wa Singida.
Sijamsikia muda mrefu kwenye ulingo wa kisiasa na Je Bado Mbunge? mwaka huu aligombea Tena Kura za Maoni?
Nakumbuka tu hoja zake Bungeni na na Kusambaratisha Upinzani Jimboni...
Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa.
Katika pesa hii...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo.
Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo...
Hawa vijana wanateseka kwa sababu za kishamba sana zilizoambatana na njama ya Jeshi la polisi kwa lengo la kuokoa ccm Singida , leo kuna rufaa ya kutaka waachiwe kwa dhamana
Mashitaka yao ni vituko vitupu ! kuna haja ya CHADEMA kuweka uchunguzi maalum kwa jeshi la polisi Singida ili kufahamu...
Asalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
Wasalaam viongozi wangu taifa!
Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili.
Ninamfahamu kabisa viongozi wangu mwenyekiti na katibu wa chama changu taifa uadilifu wenu hauna mashaka na hauwezi kutiliwa shaka ya...
Na Fundi madirisha,
Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii!
Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni nataka niwadokezee kidogo, mna mtu mmoja mpambanaji na ni mtu wa kazi sana anaitwa HAMISI LISSU MAHANJU...
Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama.
Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba 115/2020.
Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida.
Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo ambalo limekua chini ya CCM tangu Uhuru, inaonekana wananchi wa eneo hili wamechoka sana...
MR MASEMENTI, hili ni jina alilobatizwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi 2015- 2020 ndugu Bariki Kingu. Hili ni jina maarufu kutokana na tabia ya huyo ndugu kudhani kila wakati akiulizwa kero za wananchi anafikiria wanahitaji Mifuko ya sementi. Cha kuna tukio alilowahi kupita...
Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara.
CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
Habari wakuu na heshima kwenu mabaharia wote waongoza njia na wajasiri wapambanaji. Niliwahi kuishi na dada mmoja wa kinyiramba ambaye alikuaga mpenzi wangu wakati nipo Advance Level yeye yupo O-Level. Tulipotezana kwa miaka 11 nikaskia ameolewa Arusha, basi siku moja nilikutana na rafiki yake...
Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya
Singida - Mbeya route
Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida...
Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19
Rais #Magufuli:
Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha.
Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.