Singida Big Stars wawasili Kigali Rwanda

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,283
24,155
03 September 2022

Kigali, Rwanda

SINGIDA BIG STARS ARRIVES IN KIGALI TO TAKE ON RAYON SPORTS

Klabu ya Singida Big Stars imewasili mjini Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki kufuatia mwaliko wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda.

Bodi ya wakurugenzi ya timu ya Singida Big Stars imeishukuru timu ya Rayon Sports kwa kugharamia safari hiyo, hayo yamethibitishwa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Singida Big Stars ktk taarifa yake kwa umma .

Mechi hii ya kirafiki ya kimataifa inapigwa jumapili tarehe 4 September 2022 jijini Kigali.

Source: Rayon Sports TV
 
Kigali, Rwanda

Meddie Kagere na Serge Wawa ktk mahojiano exclusive kuhusu maisha ya soka Singida Big Stars

Source : B&B FM Umwezi
 
Kweli bongo ni USA ya Africa! kila kukicha kuna maajabu na burudani! raia wake ni maskini wa kutupwa mlo mmoja wanautafuta ila clubs zake za soka na sirikali ya bongo wao ni matajiri wa kutupwa!! Timu zetu zinazurura duniani tu na sirikali nao wananunua ma V8 tu sie raia makapuku tumebaki kushangaa na kupiga miayo!

Hapa hakuna mwaliko wala nini wao Singapore Big Stars ndo wameomba kwenda Kigali labda yawezekana ni pesa ya tozo hiyoo!!

Raia wa nchi zingine wanatamani kuwa wabongo, Burundi inatamani iwe sehemu ya bongo!! kweli mpira uko juu kuliko maisha ya raia! hongera sana Azam TV kunyanyua juu ligi yetu!!

Ewe Mnyampaa tumesoma pamoja kule Arachuga tukila makande na kitei please lete haraka zile Nyasi bandia viwanja vitano uliahidi bungeni maana ligi yetu pekee ndo inatupa burudani maisha ya tozo ambazo huoni kazi yake asikwambie mtu yanaumiza sana mwili na akili!!
 
Oya game itaomeshwa hii? Ni kituo gani na saa ngapi? bagamoyo

04 September 2022
Nyamirambo Stadium
Kigali, Rwanda

LIVE :
Rayon Sports Fc vs Singida Big star (Friendly Match@saa 19:30 cg 20:30 )
1662291149314.png
1662291218624.png

Picha: moja ya wachezaji Nyota wa Singida Big Stars

Mubashara Rayon Sports TV

Timu
kubwa mbili za Afrika ya Mashariki zitacheza mechi ya kirafiki ya kimataifa saa moja jioni tarehe 4 September 2022.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wale wengine wana mashindano ya kimataifa ila wanakimbia kucheza international friends match kazi yao wanasubiria wengine wacheze wafungwe ili wawacheke halafu wakija kufungwa watakuja kumlaumu karia singida big stars hawapo Caf champions league ila wanacheza international friends kweli lile ni kundi la wahuni linaendeshwa kwa propaganda.
 
04 September 2022

HIGHLIGHTS: RAYON SPORTS 0 - 0 SINGIDA BIG STARS

International friendly match played in Kigali, Rwanda.
Source: Rayon Sports TV
 
04 September 2022
Nyamirambo Stadium
Kigali, Rwanda

LIVE :
Rayon Sports Fc vs Singida Big star (Friendly Match@saa 19:30 cg 20:30 )
View attachment 2345446View attachment 2345448
Picha: moja ya wachezaji Nyota wa Singida Big Stars

Mubashara Rayon Sports TV

Timu
kubwa mbili za Afrika ya Mashariki zitacheza mechi ya kirafiki ya kimataifa saa moja jioni tarehe 4 September 2022.
Dah! Jamaa wanafurahia tu tozo zetu.
 
Wale wengine wana mashindano ya kimataifa ila wanakimbia kucheza international friends match kazi yao wanasubiria wengine wacheze wafungwe ili wawacheke halafu wakija kufungwa watakuja kumlaumu karia singida big stars hawapo Caf champions league ila wanacheza international friends kweli lile ni kundi la wahuni linaendeshwa kwa propaganda.
Acha kujishtukia ndugu rais.
 
04 September 2022
Kigali, Rwanda

FULL VIDEO : RAYON SPORTS VS SINGIDA BIG STARS

Source : Rayon Sports TV
 
Back
Top Bottom