SIMU YA USIKU WA MANANE
Leo Taikon sina maneno mengi, nianze kwa kuwasalimia wote, Kalagabaho!
Sijui kama nakosea, lakini kama nikijiita mwenyeji wa mji wengi wanaweza kunikazia macho yao mabaya wakiniita Mjuaji. Najua siwezi kukataa kuwa wapo wenye miji yao ambao hawataniruhusu nijipe anuani...