Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA.

=========

Ameandika Muigizaji Batuli

Hivi Kuna Mtu Mwingine Anapitia Hii Changamoto Kutoka Airtel Tanzania Au Ni Mm Tu…!? Jana Na Leo Hiyo 🙌🏽 Na Ukiwapigia Hawakupi Ushirikiano, Soma Ya Pili Hapo Uone Maajab. Hii Ni Siku Ya 4 Leo Nataabika Na Hili Kutoka Airtel Tanzania.

Hii Ilikuwa Monday, Imagine Wiki Haijaisha Leo Ni Alhamisi, Hapo Kwangu Natumia Wi-Fi Na Ofisini Natumia Wi-Fi Jana Nimewapigia Usiku Wamejivu Shit Sana Airtel Tanzania Huu Ni Unyama Na Dhulma Kwa Wateja


1645177553338.png

Nape Mnauye Amjibu Batuli

Ushauri wangu Batuli peleka kesi TCRA watachambua swala lako kitaalamu mbele yako na kukuonyesha mwenyewe, kama kuna wizi mahali tungefurahi kuchukua hatua. Rais ameweka watu kumsaidia na ndio maana inaitwa serikali, tukitaka yeye ndio aje kushughulikia bundles atafanya mangapi?

Batuli Amjibu Nape

Nitakwenda Jumatatu TCRA_Tz Kama Ulivyotoa Ushauri Mheshimiwa, Kiongozi Malalamiko Siyo Yng Tu, Hivi Watu Wote Hadi Wa Mikoani Huko Na Vijijini Wana Uwezo Wa Kwenda TCRA…!? Tunaomba Utatuzi Wa Changamoto Hii Yenye Kutuumiza Wananchi


Pia soma: Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja
 
Afadhali mimi natamani hizo billion. Magu kachota na kulamba zaidi ya Trilliona 30 hadi master wake shetani kashangaa nakusema WTF. Ikabidi tu atwaliwe kuzimu kabla ya siku zake.
Ukikuwepo wakati anachota?

Kabla ya siku zake wewe ndio ulimpangia siku za kuishi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Nduli limewaishwa kuzimu faster kulikoa taifa kwa maslahi mapana. Endapo angeendelea kutawala mwezi mmoja zaidi hadi April 2021 tungekwisha.
Hapo ulipo tayari umekwisha!

Amewahishwa wewe ndio ulimpangia miaka ya kuishi?

Wenzio muda huu wako kule wanafuatilia hukumu ya gaidi wako wewe uko hapa unajishebedua kwa mtu aliekufa tayari?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ulipo tayari umekwisha!

Amewahishwa wewe ndio ulimpangia miaka ya kuishi?

Wenzio muda huu wako kule wanafuatilia hukumu ya gaidi wako wewe uko hapa unajishebedua kwa mtu aliekufa tayari?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Unaumia umia tu. Ikiwezekana watanzania inatubidi tukae chini meza moja na shetani kujadiliana ni vipi nduli magufuli mtesi wa watanzania atarudishwaje extradite duniani kuja kujibu mashtaka ya wizi, ufudhuli, mauaji, ufisadi, uporaji, uasherati, ushirikina, uchotaji, ukwapuaji kea watanzania. Atumikie adhabu halafu faster akimaliza arudishwe tena kuzimu.
 
Unaumia umia tu. Ikiwezekana watanzania inatubidi tukae chini meza moja na shetani kujadiliana ni vipi nduli magufuli mtesi wa watanzania atarudishwaje extradite duniani kuja kujibu wizi, ufudhuli, mauaji, ufisadi, uporaji, uasherati, ushirikina, uchotaji, ukwapuaji kea watanzania. Atumikie adhabu halafu faster akimaliza arudishwe tena kuzimu.
Mwambie huyo shetani aanze kukubinya wewe mwenyewe kwanza maana hayo uliyoytaja yote ndio fani zako hizo!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom