#COVID19 Simu Janja kupima COVID-19 Zanzibar

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume.

Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza barani Afrika kutumia Teknolojia hiyo.
 
Zanzibar imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kutumia teknolojia ya mkisasa itumiayo simu kupima covid 18

Kampuni ya Alfa kutoka Abu dhabi ndio imeingia mkataba na serikali ya Zanzibar kushirikiana kuendesha mradi huo ambao mtu haguswi popote wakati wa upimaji.

Watalii waliopo Zanzibar wamefurahishwa sana na hatua hii kubwa ya kimaendeleo ambapo sasa wanatumia muda mfupi sana pale Air port kupima Corona.

Source: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom